mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe huko mjini mnakula Kuku na Mayai yake na hamsemi😅😅

    Nimetoka kusikiliza songi la Harmonize Nakohoa nimeshangaa sana! mnawezaje kula Mtu na mwanae na bado ukawa Happy?
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamini mjini akili tu

    Salama? Dah kila siku najifunza hapa duniani. NIMEAMINI MJINI NJOO NA AKILI TU, HATA USIPOBEBA NGUO UKIWA NA AKILI UTAZIPATIA MJINI. Sasa basi kuna mzee mmoja niliunganishwa nae anisaidie ishu moja hivi. Sasa bwana nikashangaa sana huyu mzee maisha yake yote anaishi hotelini. I mean kwa siku...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Mhe. Dkt. Alfred Kimea Aahidi Kuwawezesha Vijana Wajasiliamali Korogwe Mjini

    MBUNGE MHE. DKT. ALFRED KIMEA AAHIDI KUWAWEZESHA VIJANA WAJASILIMALI KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, katika ziara yake aliyofanya jimboni amekutana na kufanya mazungumzo na vijana wajasiliamali wanaozalisha Kokoto, katika Kata ya Mtonga Mtaa wa Msambiazi...
  4. JamiiForums Tanzania Foleni kubwa barabara ya kuingia mjini Mwanza asubuhi hii

    Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni. Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waislamu mjini Beijing waanza kukaribisha mwezi wa Ramadhani kwa kuandaa vyakula mbalimbali halali vya Beijing

    Na Pili Mwinyi Kuanzia Machi 23 yaani siku ya Jumatano, Waislamu kote duniani wanaanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika kipindi hiki Waislamu huwa wanajiegemeza zaidi kwenye sala na ibada ikiwemo kujizuia mambo yote yaliyokatazwa yakiwa ni pamoja na kula na kunywa wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Maeneo ya kupata appartment ya vyumba viwili kwa Tsh. 100,000 - 130,000 pembezoni mwa mji wa Morogoro

    Naombeni kufahamu maeneo yalio pembezoni mwa mji wa Morogoro (isiwe barabara ya kwenda Dodoma) ambayo naweza kupata appartment yenye vyumba 2 na sebule kwa bajeti ya 100,000/= mpaka 130,000/= kwa mwezi. Kuwe na usafiri wa uhakika kwenda mjini. Ahsanteni.
  7. JamiiForums Tanzania Safari ya mwisho ya maisha-Kijijini au Mjini?

    Wanabodi hebu leo tutatazame kitu tofautI, Majority ya wengi wetu tumekuja mjini kutafuta maisha. Na hii ni kwetu almost wote, at least 90%. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba fursa nyingi zipo mjini. Wengi tukifika mjini tunapambana na kufanikiwa. Wengine wanajenga majumba na kumiliki mali...
  8. JamiiForums Tanzania Niliikubali sana hii hustle ya mjini

    Siku moja milimtembelea jamaa yangu kwenye ofisi yake ya kuuza tisheti za mtumba. Yeye huwa anafungua mabelo. Sasa anachofanya, anatoa nguo nzuri anatundika pale ofisini. Zingine zinazobaki anaweka mezani watu wachague kwa bei moja. Labda bukubuku au buku mbilimbili. Ni nguo nzuri nazo, nilikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Stephen Byabato Mgeni Rasmi Mkutano wa CCM Bukoba Mjini

    WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI. Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini. Kupitia Kikao Hicho Mhe...
  10. JamiiForums Tanzania LATRA angalieni magari ya Usagara - Mwanza Mjini kwenda Kisesa

    Kwa muda sasa imezuka tabia ya baadhi ya madereva wanaoendesha magari yanayofanya ruti ya Usagara kwenda Kisesa, Buswelu, Kisesa, Buzuruga kupitia Mwanza Mjini kupandisha nauli kiholela tofauti na utaratibu unavyoongoza. Kikawaida nauli ya kutoka Usagara kufika Mwanza Mjini aidha unashukia...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichokiona Iringa sakata la machinga kuhamishwa maeneo ya mjini kimenisikitisha

    Machinga niliowaona hapa ni zaidi ya watu elfu tano hii ni wilaya moja tu hivi tunakwenda wapi kama taifa idadi kubwa. Je, Tanzania nzima machinga wangapi? Tuna ardhi nzuri, mito na maziwa nini kifanyike nani wakulaumiwa. Je, wananchi wanashindwa kuzitumia fursa huko zilizopo ama ni serikali...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  13. JamiiForums Tanzania Unawatambua wateja wako? Wateja wapya ndiyo wanaotuweka Mjini

    Katika biashara kuna mambo mengi sana ya kufanya ili uweze kufanikiwa na kufika sehemu ukaona faida ya biashara,Katika mambo mengi kuna moja ambalo wafanyabiashara wengi hawalitambui na wachache sana wanaolifhamu na kwa uchache wao wanafaidika na kukaa kimya. Mimi kazi yangu kila siku...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chief Karumuna mgombea ubunge (CHADEMA) Bukoba mjini afunguka alivyotekwa 2020

    25 February 2023 Bukoba, Tanzania MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA TOKA KIWANJA CHA MAYUNGA BUKOBA Mbunge wa roho za watu katika jimbo la mioyo ya wakazi wa Bukoba mjini afunguka alivyotekwa na wenye bunduki 4 kwenye uchaguzi wa 2020. Hayo yalijiri wakati CHADEMA walivyofungua mkutano wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wanaodhaniwa kuwa wachawi wanasa Njombe

    Wanawake wawili, wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga wakazi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wanaofanya shughuli zao ujasiriamali mjini Makambako wamezua taharuki mjini Njombe baada ya kuganda ghafla barabarani wakishindwa kusema chochote na kutembea kwa zaidi ya saa moja huku...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

    Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Baa nyingi mjini? Wapishi hakuna? Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka, Mtura nao ukatoweka! Likawa linapatikana Bomu, mimi silipendi sana. Bado najiuliza kwanini Mtura...
  17. JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

    Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu ! Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri. Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kabila la Wamiao mjini Liuzhou mkoani Guangxi China washerehekea Tamasha la Manghao

    Februari 7, 2023, Kaunti ya Rongshui ya kabila la Wamiao, mjini Liuzhou, mkoani Guangxi, China ulikaribisha tamasha la kila mwaka la "Manghao." Mang Hao ni mungu wa milima katika hadithi ya kabila la Wamiao, ambayo inaashiria afya na maisha marefu, uadilifu na urafiki, bidii na ujasiri, na...
  20. JamiiForums Tanzania Mishe za mjini

    wakuu natamani nikimaliza form six hapo mwezi wa tano nitafute kitu cha kufanya ili niingize hela mpaka ntapoenda chuo....nisaidieni wakuu wangu kama kuna mahali naweza fit....i can do alot(multipurpose,smart,creative,hardworking)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…