mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nliingizwa Mjini kizembe sana. Nikajutia sana gharama zangu

    Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi. Basi tukadumu na kupeana mawasiliano ya simu. Na simu za hapa na pale zikawa zinapigwa. Basi mwezi wa pili nikaona si mbaya...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  4. JamiiForums Tanzania OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

    Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu! Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka! By Msemaji wa wasio...
  5. JamiiForums Tanzania Wanzibari igeni Bara kuondosha makelele Mjini (noise nuisance)

    Zanzibar is a tourist destination, however the level of noise is intolerable. Nimelala hapo Maisara kesho yake nikafungisha virago. Makelele ya miziki toka hizo kumbi za CheCheMe Maisara, Kilimani, Gofu na Gynkana Club ni shida, tena washindana. Pili milio ya bodaboda usiku kucha ni kero...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    ~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele > ~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu> ~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja> ~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli> ~udereva < wanaogopa ajari > ~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi> ~kilimo hakilipi...
  7. JamiiForums Tanzania Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

    Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu. ======== Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso: Hali ya upatikanaji wa maji mjini yafikia asilimia 88

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2023/2024 ambapo amesema hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Mijini imeongezeka kutoka wastani wa asilimia 86.5 mwezi December, 2021 hadi wastani wa asilimia 88 mwezi Desemba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, wakulima hatutaki kurudi tena kuuza mahindi kilo 200, nasi tutakuja huko mjini

    Habarini wadau, Nimeona watu mtandaoni wakilalamika kuwa serikali ifunge mipaka ili wakulima tukose sako, na mazao yetu yashuke bei. Namuomba Rais asikubali na hii hoja, sababu hivi sasa wakulima tunauza mahindi kilo 500 hadi 600 huku shambani. Huko mjini unga nasikia haujashuka bei, kama Dar...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Upo Tanga mjini Ni PM

    Hello wana JF! Kama wewe ni mdada na upo Tanga mjini lets connect, weekend ni raskazone na tanga beach kwa story za hapa na pale, kula kushiba usiwaze,
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Tulia anataka jimbo la Mbeya Mjini ligawanywe mara mbili?

    Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
  12. JamiiForums Tanzania Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini makolo wakishinda fujo ni nyingi sana mjini

    Aisee, hawa Makolo kwanini wakishinda fujo ni nyingi town but young africans hatunaga huo ushamba,, yaani tunafanya slow but sure 🤣🤣 sisi ndio vidume sasa Narudia tena SISI NDIO VIDUME
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  15. O

    JamiiForums Tanzania DC Arusha mjini avunja ukimya kwa Gambo

    Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Mtahengerwa amesema hayo leo April 19,2023 wakati akizungumza na waandishi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Jokate akutana na wabunge wa Korogwe mjini na vijijini kujadili mikakati ya wilaya ya Korogwe

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe.Jokate Mwegelo mapema Leo hii April 17,2023 amekutana na Mbunge wa Korogwe mjini Dr. Alfred Kimea na Korogwe vijijini Timotheo Mzava ofisini kwake. Katika Mazungumzo ambayo yamefanyika kwa muda wa saa Moja wabunge pamoja na mkuu wa Wilaya wamejadili mikakati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

    Thread was deleted
  18. JamiiForums Tanzania Juhudi za Alfred Kimea Zimeleta Mahindi Bora na ya Bei Nafuu kwa Wakazi wa Korogwe Mjini

    JUHUDI ZA DKT. ALFRED KIMEA ZIMELETA MAHINDI BORA NA YA BEI RAFIKI KWA WAKAZI WA KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, PhD wakati wa ziara yake jimboni alielezwa na wananchi juu ya changamoto ya ukosefu wa vyakula muhimu ikiwemo uhaba wa Mahindi na bei kuwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange 3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room. 3 Normal bedrooms. Car garage (parking) public toilet kitchen Siuting room & Dining room Mabanda 7 inje ( ya tofali kama vyumba) Frame ya Duka Gazebble Imezungushiwa ukuta na Gate Eneo size ni 2230 sqm...
  20. JamiiForums Tanzania Mabinti wa mjini wanamaadili kuliko wa kijijini, kijijini hupoteza bikra zao wangali wadogo sana

    Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice. Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…