mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Mashine Tatu Iringa umekuwa mbovu kupindukia

    Habarini ndugu zangu, Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa. Mtaa namba moja kwa shughuli nyingi ni Miyomboni. Ndugu zangu, mtaa huu...
  2. JamiiForums Tanzania Kukaa Mjini sio lazima

    Ukiona mambo hayaendi Mjini, rudi kijijini ukajipange upya. Wakati ukiendelea kupambana na online hustles, kumbuka kuwa na vitu vingine vi2 au zaidi utakavyofanya kujipatia kipato kama online pakiwa pakavu. Najua utakataa, ila kijijini unasave sana matumizi ya pesa na unapata muda mzuri wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa linauzwa tabora mjini

    Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa Bei haipungui Duka Lina kabati 2 nyuma Kila moja futi 8 kimo 4 upana Kabati 1 mbele futi 5 kimo 4 upana Pembeni pia partition 3 vioo urefu wa 4×3 Duka Lina lesseni ya biashara ina expire...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyama, Nyama Morogoro Mjini

    Habari za asb wadau. Nyama nzuri iliyopimwa na mtaalam ~Steak kilo & Mixed Beef ~Nyama yenye mifupa - Kilo 80 inapatikana. Una shughyli, shule, Hoteli tupigie 0787904860 tupo Morogoro mjini Steak 12000 Mixer 9500 wahi
  5. JamiiForums Tanzania Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba cha kupanga Morogoro Mjini

    Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
  7. JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM moshi mjini chukueni hatua dhidi ya kada wenu Ibraline

    Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi makali mstahiki meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo. Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Habari ya mjini kwa sasa!

    Coming soon #weka order mapema! #Unyama mtupu #Ukali kama wote
  10. JamiiForums Tanzania Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

    Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu, ahimiza wananchi kujiandikisha.

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
  12. JamiiForums Tanzania Salamu imegeuka dili mjini

    Yaani usipokuwa na mtu wa kumpungia basi imekula kwako. Ni kama vile huna dili kabisa. Watanzania tunapenda kusalimiana sana.
  13. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

    Kuna jamaa anaitwa Kuringe, kaingia mjini Dar es Salaam na shoka. Na ana kata kulia na kushoto akiwanunua watu na viwanja vyao kama hana akili nzuri. Ukienda wilaya ya Kinondon i utamkuta yupo tele kila mahali. Mitaa ya Goig Mbezi Beach kanunua mtaa mzima. Kama utafika Mbezi NSSF road ile...
  14. JamiiForums Tanzania Manyara: Kimbunga kikali kilivyozua taharuki Mjini Babati

    Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani. Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
  15. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

    Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
  16. JamiiForums Tanzania Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

    Nimeamua nikazeekee kijijini kwa sababu zifuatazo:- Kule kijijini nitapata hewa safi isiyokuwa na mchafuko Kule kijijini nitapata majirani wema wasiokuwa na choyo Kule kijijini tutakuwa tunatembeleana bila chuki Kule kijijini tutakuwa tunakunywa togwa pamoja Kule kijijini tutapunguza msongo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

    Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa. HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE. Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna trend mpya hapa mjini toka 2022 ila kwa sasa inakua kwa kasi sana, yaani karibu kila dem pisikali ana dem wake wa kiarabu

    Aisee ukiona dem wako ni mzuri na ni mweupe lakini ana mazoea ya kupitiliza na dem mwingine wa kiarabu basi odds kubwa ni kwamba wanasagana. Nina mifano mingi sana na nilianza kuobserve hili swala toka nikiwa Morogoro, na baadae kwenye kona mbalimbali za dar. Mifano ipo mingi sana, siwezi...
  20. JamiiForums Tanzania Iringa mjini mtu ukiumwa usiku unaweza kufa, hakuna Hospitali au Zahanati wanayokesha.

    Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan. Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…