mjane

Gunnar Mjånes (17 April 1921 – 2 November 2002) was a Norwegian politician.
He was elected deputy representative to the Storting for the periods 1965–1969 and 1969–1973 for the Christian Democratic Party. He replaced Bergfrid Fjose at the Storting from October 1972 to September 1973.

View More On Wikipedia.org
  1. Curtis De Mi Amor

    Mjane amegoma kurithiwa na shemeji yake!

    Mjane mmoja huku kitaa aliyefiwa na mumuwe na kuachiwa mi mali yakushiba ikiwemo mi jumba ya kifayari, mindinga ya maana na ma maduka ya ujazo yote amegoma kurithiwa na shemeji yake. Shemeji mtu ni kaka wa marehemu hivo alitaka amrithi huyo mjane ili mali zisiende mbali na nyumbani. Sasa...
  2. mwanamwana

    Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala

    Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala.
  3. Analogia Malenga

    Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

    Africa ya Kusini Huko, Pastor Aliamua Kum propose Mjane pale pale msibani kabla hata ya msiba kuisha. Amedai Hiyo itamsaidia pia ku heal kutoka kwa majonzi. Pastor alisikia akimshukuru Mungu haswa kwa kuwa karibu na mjane katika wakati mgumu Akimuuguza Aliyekuwa mme wake, Shirika la habari...
  4. Sky Eclat

    Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

    Picha hii imepigwa katika uzinduzi wa filamu mpya wa Elvis Presley huko Cannes 25/05/2022. Elvis na Pricilla walifunga ndoa mwaka 1967
  5. Crimea

    Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli. "Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu...
  6. sky soldier

    Hakatwi mtu hapa: Jacqueline Mengi Mjane wa Dkt. Mengi apata Ushindi Rufaa ya Mirathi

    Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi ambao ni Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza) na Benjamin Abrahamu Mengi (ndugu wa...
  7. JanguKamaJangu

    Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi. Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi. Hii ni...
  8. BigTall

    Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

    Mahakama ya Watoto Kisutu imewabana wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kwa kukataa kuwahudumia watoto wake wadogo aliowazaa na mjane wake, Jacqueline Ntuyabaliwe. Mahakama hiyo imetoa msimamo huo katika uamuzi wake wa pingamizi lililowekwa na...
  9. Stroke

    Mjane ananipenda sana

    Wakuu, Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi. Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sasa kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi. Mtu kama huyu namfanyanje...
  10. N

    Mwanamke aliyeachwa au mjane, Je! akiolewa tena anatolewa Mahari?

    Kwa Washenga au Kungwi? Nafahamu wapo Wanawake waliopewa Talaka au wajane humu tunapoishi, napia kuachwa sio dhambi tafsiri nyepesi Talaka ni seal au lakiri inayofungia ndoa, kwa lugha utangazaji wangesema "usichike kidude" Narudi kwenye swali. Mwanamke aliyekwenye kipengele hicho Talaka au...
  11. mahunduhamza

    Msaada kuhusu suala la mgawo wa mali za mirathi kwa mjane na watoto kisheria

    hili suala kisheria likoje kwa mama mjane na watoto zake kugawna mirathi ambayo mume wake amefariki. kisheria hili suala likoje na lina fanywaje katika masuala mazima ya mgawo,mfano mume alikua na wake wawili na kila mke ana watoto wa 2. Mke wakwanza aliachika nataratibu za kugawana naye...
  12. M

    Picha za kwanza za mjane wa Rais wa Haiti akiwa hospitalini Florida

    Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani. Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
  13. waziri2020

    Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  14. D

    Kuna mjane ateseka, naomba ushauri wa namna ya kumsaidia

    Kuna mama mmoja anaitwa Aisha aliolewa na Mtanzania mwenye asili ya Kioman mwaka 1979 huyu Aisha aliwakuta watoto 4 kwa huyu mumewewakiwa na umri miaka 6 wengine miaka 5 yaani bado wadogo waliozaliwa kwa wanawake wengine walioachwa. Huyu Aisha alipoolewa aliwalea watoto hao kama watoto wake na...
Back
Top Bottom