mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
  2. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, serikali inaweza kuwasaidia vipi vijana kujiajiri?

    Karibu mdau tujadili nafasi ya serikali katika kuwezesha vijana kujiajiri.
  4. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais wa Watanzania Wote Tunamuhukumu kwa matendo na siyo Dini yake

    Kwa ufupi kabisa sakata la DPW ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba ya nchi yetu. Ndiyo maana hata wanaopinga wanataja vifungu vya sheria ambavyo vimekiukwa. Sasa wale wenzetu wa upande wa pili sisikii wakitaja vifungu chochote cha sheria kuutetea mkataba kwamba ni halali bali na kuongea...
  5. JamiiForums Tanzania Mradi wa kiuchumi mnaufanya mjadala wa kidini. Hamna maana kabisa

    Haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu masuala ya kiuchumi kugeuzwa mjadala wa kidini. Kuliwahi kuwepo na miradi ya kifisadi iliyodumu na kuleta athari mbaya kwa nchi wakati wa maraisi walipita yote ilijadiliwa kwa ufisadi wake na yote yaliyofuata yalikuwa malalamiko ya kawaida tu.Huu...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuhamisha mjadala kwa kuwabambikia kesi za ajabu ajabu wakosoaji

    Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito. Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

    Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama...
  8. JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  9. JamiiForums Tanzania Endeleeni kujifanya mmejikita katika Mjadala wa Bandari na kuacha suala la ngano na mchele

    Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi. Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo. Nchi ya India...
  10. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana. ========== Mdau mwingine pia aliandika: =====
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

    Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari ni ama tuchague kusikiliza mtaalamu Hamza Johari au mpenda sifa Tundu Lissu

    Hamza Saidi Johari WORK Board Member - Civil Aviation Safety and Security Oversight Agency Director General - Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Part time Lecturer - University of Dar es Salaam (UDSM) Part time Lecturer - National Institute of Transport (NIT) Executive Secretary (CEO) -...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ushiriki wako kwenye mjadala wa Bandari unatuharibia

    Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga" Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Madeleka umeudanganya umma wa watanzania kwa mara nyingine tena

    Madeleka ulisema kwamba Bunge halina mamlaka ya Kujadili au kupitisha Makubaliano, lakini lina mamlaka ya kufanya hivyo kwenye mikataba tu. Huu sio ukweli, Bunge linauwezo pia wa kujadili mpango wowote, achilia mbali makubaliano au mkataba, bali mpango wowote na kisha kuutungia sheria. Haya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

    Wajumbe, Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji. Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tumewasikia watu wote, nini hitimisho la mjadala wa Bandari?

    Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake. Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

    Heshima kwenu Wakuu, Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam. Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia...
  18. JamiiForums Tanzania Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

    Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
  19. JamiiForums Tanzania Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

    Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Subira Mgalu achukuliwe hatua kwa kumshambulia Profesa Tibaijuka bungeni badala ya kujadili Bajeti

    Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…