mizizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo tutaelewana tu, Mizizi yake ni mirefu mno) Bila CCM hakuna Tanzania

    Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
  2. Kitimoto

    Mizizi ya Dhambi Katika Uongozi wa Tanzania

    Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia. Tamaa ya madaraka...
  3. DR Mambo Jambo

    G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  4. Mkunazi Njiwa

    Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

    Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT. Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza.... Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
  5. Faana

    Maarifa: Mizizi ya mgomba yaweza kutumika kama chakula

    Huko Indonesia shina la mgomba hutumika kama chakula baada ya ya mkungu wa ndizi kukatwa, video inaeleza process nzima
  6. Mshana Jr

    Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  7. E

    Soko lipi naweza kupata mazao aina ya mizizi.

    Salaam, Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu. Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc. Vipimo vikoje kwa kila zao. NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni. Nawasilisha.
  8. Mto Songwe

    Michezo ya kupotezana na kufichana ina mizizi mirefu

    Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi. Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto. Watu kukimbia nchi hawajaanza leo, watu kuigopa CCM former TANU haijaanza leo. Baba alijenga nyumba yenye msingi mbovu kabla ya...
  9. Lady Whistledown

    Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  10. sanalii

    WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo, Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo? Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za...
  11. GENTAMYCINE

    Huu Upuuzi ulioota Mizizi Serikalini miaka karibia 25 sasa ndiyo mnaushtukia leo? Acheni Unafiki na hadaa

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi amesema mmomonyoko wa maadili ni mkubwa na shida kubwa ipo kwa watoto wa viongozi, ambao hata nafasi za ajira zinapotoka hawataki kushindana wengine bali wanaziomba nafasi hizo kwa barua ya maelekezo...
  12. G

    Je, ni kweli Mwalimu Nyerere alitumia mizizi ya Makobo kuwashawishi watu?

    Majuzi nilikuwa kijijini kwetu! Lengo kuu la safari yangu lilikuwa kuwasalimia ndugu na jamaaa, maana ni miaka mingi sana imepita toka nikanyage bush kwetu.Lakini nilipofika killage yalizuka mambo mengine ambayo sikuwahi kuyasikia wala kuyaota. Na moja ya mambo hayo yanamuhusu baba wa taifa...
  13. sky soldier

    Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro. Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi...
  14. D

    Matatizo mengi tuliyo nayo yana mizizi ya kiroho. Tafuta nguvu za Mungu kuyamaliza

    Usiache kutafuta nguvu ya Mungu, maana vita ya kiroho hutakaa uiweze bila Mungu mwenyewe kuingilia Kati.
  15. Zee la madawa

    Hii kitu haikubaliki, hii nchi udini umeota mizizi sasa

    SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013 Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja. Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
  16. P

    Walipopoteza unyenyekevu na Taifa likaanza kupoteza maadili na ubinafsi ukaanza kuota mizizi

    Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi. Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
  17. Kilimbatzz

    Mayele azidi kukita mizizi katika kikosi cha Taifa la Kongo

    Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani Na Kwa jinsi alivyocheza na mwitikio wa kocha wake,naona milango ya mshambuliaji huyu ikizidi kufunguka NB: Kuna Mayele...
  18. Mama Edina

    DOKEZO Wizara ya TAMISEMI ni “Empire" ya vigogo. Mfumo wa kujuana umeota mizizi

    Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
  19. M

    Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  20. Naantombe Mushi

    Nimejiridhisha kwamba CCM imekita mizizi, kama vyama vya kikomunist vya China na Korea Kaskazini

    Hii ni baada ya kuzunguka kwenye taasisi kubwa za kielimu hapa nchini na kubaini kwamba asilimia kubwa ya hawa tunawaita wasomi wa ngazi za juu ni wana CCM kindakindaki na bado wana imani kubwa na dola iliyopo. Ukitembea kwa walala hoi mikoa mbali mbali, huwaambii kitu kuhusu CCM. Ukija kwenye...
Back
Top Bottom