mizizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya TAMISEMI ni “Empire" ya vigogo. Mfumo wa kujuana umeota mizizi

    Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  3. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha kwamba CCM imekita mizizi, kama vyama vya kikomunist vya China na Korea Kaskazini

    Hii ni baada ya kuzunguka kwenye taasisi kubwa za kielimu hapa nchini na kubaini kwamba asilimia kubwa ya hawa tunawaita wasomi wa ngazi za juu ni wana CCM kindakindaki na bado wana imani kubwa na dola iliyopo. Ukitembea kwa walala hoi mikoa mbali mbali, huwaambii kitu kuhusu CCM. Ukija kwenye...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM: CCM ijichimbie mizizi mirefu na imara

    Ndani ya CCM kumeibuka tabia ya baadhi ya wanachama kujiona wana nguvu sawa au kuliko Chama. Tuliona hivyo mwaka 2015 wakati Lowassa alipokatwa CCM kwamba CCM ikatike naye. Haiwezekani chungu akawa mkubwa kuliko mfinyanzi. Tabia hii si tu inahatarisha uwepo wa CCM lakini pia inachangia...
  6. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Nimesoma maandiko ya ndugu yangu Mohamed Said aliyoyaweka katika kitabu chake akiitacho Historia ya Uhuru upande wa Pili. Katika maandishi yake ameonyesha wazi kulazimisha dunia iamini kuwa waislamu wamedhulumiwa katika historia ya Uhuru wa nchi hii, Katika matakwa yake Mohamed Said anataka...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu. Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Hatimae mizizi imepewa tena kipaumbele

  9. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara. Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa. Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kusema hatujawahi kuwa na Rais mwenye msimamo tangu enzi za Mwalimu Nyerere, ni kudhalilisha viongozi

    Rais anashauriwa vibaya. Tumekuwa tukiwatetea Marais wetu wapendwa kwa kauli hii. Unajiuliza yeye Rais hana akili? Yaaani leo hii nije kukushauri ukajisaidie hadharani itaonesha kuwa wewe ni mtu wa watu huchagui au huna majidai. Nawe unaenda? Wewe si huna akili sasa? Hii kauli ilishika kasi...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uhalifu ni sawa na mti wenye matawi na mizizi

    Kwanini uhalifu hauwezi kuisha Uhalifu ni koo kubwa ambayo kuna sehemu unafikia hata unayekemea au kuzibiti mfano Polisi, Jeshi, TAKUKURU, TISS, Selikali, viongozi, jirani, ndugu na n.k bado itajikuta nao wanausika kwenye uhalifu! Uhalifu unaweza kugusa hata mkubwa yoyote na mdogo yoyote kama...
Back
Top Bottom