mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi Mbeya lakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza...
  2. JamiiForums Tanzania Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

    Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October ich
  3. W

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi akanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge

    Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA na Askofu Mwamakula acheni kuchapisha mitandaoni habari za uongo

    Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu? Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  7. JamiiForums Tanzania Revealed: Watoto waliobemendwa ndio wanatukana sana Mitandaoni. Wazazi wao walikuwa Wazinzi

    Wazazi waliokuwa wanachepuka, ndio wanazaa watoto wenye matatizo. Vijana wote wasio na mchango kwenye Taifa na wale wanaotukanana Mtandaoni, wazazi wao walikuwa Wazinzi, Washerati Washerati na wachepukaji. Watoto wote waliobemendwa ndio wanaoongoza kwa matusi Mitandaoni🤣🤣🤣🤣
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali. Je? Raia wa mitandaoni wanaishi wapi?

    Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao? Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?
  9. JamiiForums Tanzania Tunisia: Mtu mmoja ahukumiwa kifo kwa kuchapisha maneno ya kumkosoa rais Facebook

    Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama. Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo. Mawakili wa...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Ushiriki wa mikutano ya vijana mitandaoni.

    Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha.
  11. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi mikopo ya mitandaoni

    Habari wanajf awali ya yote niwapongeze uongozi mzima wa Jamiiforum pamoja na Wana member wenzangu humu! Natumaini yote tu wazima wa afya, Sasa bwana Leo kilichonileta ni hiki kama Uzi unasema nitapata wapi mikopo ya mitandaoni maana huko kote nimechukua app zao zote na kujisajiri lakini kote...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Matusi mazito mitandaoni, ni matokeo ya chuki chanzo kikiwa ni uonevu, mauji, utekaji, ufisadi, ukandamizaji

    Habari ndio hiyo na watu waanaamua kutoa hasira zao kwa njia hiyo walionayo. Wanaotukana matusi hayo mazito ni wachache ila sio vichaa bali wanamachungu. Vile vile, angalieni na mjiulize wanao-comment kuunga mkono matusi hayo ni wachache? Somo; Hawa wanaotukana na wanaochangia kuunga mkono...
  13. JamiiForums Tanzania Anayeijua nguvu ya CCM, Hawezi kupoteza muda kujibizana mitandaoni

    Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM. Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani. Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi vijana mnaokwenda MR RIGHT au kutafuta wachumba mitandaoni mpo sawa kweli?

    Hawa vijana wa siku hizi kama mnashindwa kupata wachumba kwa nini msikwende kwa wazazi wenu wawatafutie wachumba. Yani kama hiki kipindi kinauzunisha sana kwa hawa vijana.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie hapa Free Site bora au Free Websites za Kupakuwa Nyimbo Mtandaoni / Mitandaoni

    Nina GB 100 na nataka zote nizitumie Kupakuwa tu Nyimbo za Kikongo na Hotuba za Werevu Nyerere, Mkapa na Magufuli.
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

    Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wakamata Watu 9 kwa Utapeli Mitandaoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti Agosti 18, katika...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

    Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa. Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…