mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  2. M

    Polepole heshimu mitandao

    KUTOKA MAKTABA Katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM mwaka 2025, wajumbe kutoka pande zote za Tanzania walikutana kwa umoja na mshikamano mkubwa ili kufanya maamuzi muhimu kwa mustakabali wa Taifa. Mkutano huu ulikuwa na dhamira ya kumuidhinisha mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  4. Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  5. Serikali iache collective punishment!

    Leo mitandao ilpata shida sana, ila naamini watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa hofu, mfano TCRA kama wasingechukua hatua, wangeshughulikiwa, wala siwalaumu, wangeulizwa kwa nini mliruhusu mitandao wakati polepole anaongea? Maria sarungi na wanaharakati wengine walikuwa wanatumia twitter...
  6. Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  7. T

    Naona ikitungwa sheria ya serikali kujimilikisha account za mitandao ya kijamii ya viongozi na social influencers wote

    Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali Ili ukija kuhasi, basi usipate...
  8. Matumizi ya mitandao ya Kijamii

    Nimekuwa nikitazama umuhimu wa mitandao ya Kijamii katika nchi yetu, lakini bado tunatatizo kubwa Sana la uelewa wa baadhi ya watu. Kwamfano: mtu kauliza swali, "Kuna watu watatoa majibu mazuri zuri tuu" lakini kuna watu "Hushusha matusi na vitu visivyo eleweka" Hii ni kwanini?
  9. Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager)

    Kama unahitaji social media manager (msimamizi wa mitandao ya kijamii) nitakuwa naweka posti za bidhaa zako, kujibu maswali ya wateja na kazi zingine. Bei kwa mwezi ni 150,000 Tsh Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  10. Wadada wa JamiiForums ni tofauti na ninaokutana nao mitandao mingine ya kijamii

    Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela. Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde. Maajabu haya haya
  11. Msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager) nipo

    Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering). Pia najua website hosting na management (kusimamia tovuti kuanzia kulipia Hadi ufundi) Naishi: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  12. V

    Je, Kuongezeka kwa Watu wa Imani Tofauti Kwenye Mitandao ya Kijamii wakifundisha Iman ni Dalili ya Nchi Kubarikiwa sana?

    Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
  13. Mitandao ya Kijamii Inapocheza na Haiba ya Kuvutia ya Haji Manara

    Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi. Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia. Muda si muda watazamaji wanagota laki +. Na ukweli hawa hawakunifuata mimi. Wamemfuata Haji...
  14. Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

    Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
  15. Je, Kodi kwa Mikoa, Wilaya na Mitaa inafaa kwa sasa katika Taifa letu

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza. Hivi ni lini tutaweza kutoza Kodi Mikoa, Wilaya, Kata na Kijiji/ Mtaa? Ili wanavyopelekewa fedha za Umma kwaajili ya maendeleo wanapaswa waonje uchungu, wawe makini na waweze kuweka nidhamu ya fedha. Karibu.
  16. W

    Nywila Bilioni 16 za Apple, Facebook, Google na Mitandao Mengine Zavuja

    Watafiti wamethibitisha kuwa hili ni tukio kubwa zaidi la uvujaji wa taarifa kuwahi kutokea baada ya nywila bilioni 16 pamoja na taarifa za watumiaji wa mitandao mbalimbali kuvuja kuanzia Januari 2025 Wataalamu hao wamedai kuwa taarifa na nywila hizo zilikusanywa kwa kutumia programu hatari...
  17. Jinsi Nilivyogundua Njia Rahisi ya Kuongeza Followers na Traffic kwenye mitandao ya kijamii

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana — na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua. Nilikuwa napambana kupata followers Instagram, Twitter, YouTube subscribers, lakini ilikuwa ngumu —...
  18. Je lipa namba za mitandao zinaenda kufungwa?

    Kwa wale Mawakala wa Mitandao ya simu wanaotumia Lipa Namba bilashaka watakuwa wamekumbana na kashkashi za matishio ya Mitandao ya simu kuhusu . Kwa sasa mawakala kwa asilimia kubwa wamekuwa wakitumia Lipa No kwa ajili ya kutoa pesa kutokana na demand ya wateja kupata unafuu wa Makato kiasi cha...
  19. M

    Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  20. Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

    Hii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…