Utangulizi
Vijana wa kileo wanaita utandawazi...kwa kijana wa kileo aidha awe binti ama mwanaume, ukifungua simu yake, asilimia 98 kama hutakuta Wana apps hizi maarufu za kujianika mitandaoni kama Facebook, TikTok, Snapchat, na apps zingine za kutafuta wapenzi mitandaoni, humo wenyewe ni...