mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Tusiamini kila tunaloliona kwenye mitandao ya kijamii, Msihangaike na MALOFA

    Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa ndugu Richard Kasesela, Amewataka watanzania kukuza ufahamu na kuacha kuamini kila wanachokisikia na kukiona kwenye mitandao ya kijamii bila kufanyia utafiti Amesema hayo Leo Oktoba 8, 2025 wakati wa mkutano wa kumnadi mgombea udiwani...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Kimiti: Wanasiasa msitumie mitandao ya kijamii vibaya na kuvunja amani ya nchi

    MWENYEKITI wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti, amewataka baadhi ya viongozi na wanasiasa kuwa waangalifu katika matumizi ya mitandao ya kijamii, ili kulinda amani na mshikamano wa Taifa. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital jijini Dar es...
  3. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi La Polisi: Wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii tutawasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi la Polisi Nchini limetoa onyo kali sana tena sana kwa wale wote wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii Kuhamasisha Vurugu na uchochezi Nchini. Limesema ya kuwa halitasita kuwakamata na kuwachukulia hatua kali sana za kisheria watakao jaribu kuharibu amani ya Taifa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Misime: Yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii, kuna Uhamasishaji wa Uasi na Picha chafu kinyume na maadili ya Dini

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu. Ameongeza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana JKT wahimizwa kutoa elimu ya Matumizi bora ya Mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi

    Vijana waliopata Mafunzo ya Kijeshi katika Kikosi cha Jeshi la kujenga taifa (843KJ) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutumia vizuri matumizi ya Mitandao ya kijamii kwa faida yao na taifa kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Operesheni Okoa Nishati safi, Mgeni rasmi...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

    Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically. Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wahitimu JKT Wahimizwa kujiepusha na Matumizi mabaya ya Mitandao ya Kijamii hasa wakati wa uchaguzi

    Wameona mambo ni mengi sana Mtandaoni wananchi wanakabia juu kwa juu, sasa kazi ni kufanya brain washing kwa vijana wanaotoka kambini na kurejea mtaani Natumai mmewaambia namna ya kuja kupambana na mafisadi wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yao --------------- Vijana kote nchini Pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Majangili na Maharamia na hofu dhidi mitandao ya kijamii

    Kundi la maharamia na majangili limekua na hofu dhidi mitandao ya kijamii ili kuficha uovu mwingi inaotenda ikiwemo wizi wa rasilimali za taifa , utekaji na mauaji dhidi raia na ukandamizaji wa haki za Wazalendo..Maponjoro ndio vinara wa wizi na ukwepaji kodi kwa ushirikiano na watendaji waovu.
  10. JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna kikundi kinamilikiwa na mtoto wa Rais ambao ofisi zao zipo kwa ajili ya mitandao ya kijamii

    Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao. Moja yao wapo hapa JF. Yani utasahangaa UZi umeanzishwa halafu sekunde wanakuja kujibu kuunga hoja wakina...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kurasa za mitandao ya kijamii za serikali, kuchapisha maudhui ya kampeni kwa mgombea mmoja ni sahihi?

    Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Utalii, Mitandao ya Kijamii na Hatima ya Utamaduni wa Wahadzabe

    Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne hii yameingia kwa kasi isiyozuilika. Wageni na makampuni ya utalii wamevamia makazi yao kwa lengo la...
  13. JamiiForums Tanzania Tusiotumia mitandao ya kijamii tujuane!

    Kwanza kabisa kwanini hautumii mitandao ya kijamii? Ilikuwa hivyo toka mwanzo au ulifuta baada ya kutumia? Socia media zimekuwa sehemu mpya ya maisha ya binadamu kuendana na kasi na mabadiliko ya Teknolojia ila lengo kuu la mitandao ya kijamii limepotea ghafla baada ya teknolojia hii kupokewa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kabisa kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika kwenye mitandao ya kijamii muda huu Chadema wangekuwa ikulu!

    Wapo busy na mitandaoni wakati kura hazipigwi wala kuhesabiwa huko!
  15. JamiiForums Tanzania Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k. Nina ujuzi wa IT (Information Technology), graphics design na masoko ya mtandaoni Mawasiliano: 0756704145 Napatikana Mkoa wa Dar es...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za utani toka kwenye page za mitandao ya kijamii ya timu za Mpira wa miguu NBC Premier League

    Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya utani wa timu zetu ta ligi kuu wanazopost kwenye page tao za mitandao ya kijamii. Wamepost Singida Big Stars. "Laiti Katika Timu Yenu Angetokea Mtu Mmoja mwenye Hekima na Busara Akatuuliza kwa nini Tumekubali Kumuachia Top Score wetu Buure kwa Kumpa Mpinzani...
  17. JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT kwa ujumla. Gharama za kusimamia akaunti zote ni 400,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  18. JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana: Dar es salaam. Mawasiliano: 0756704145
  20. JamiiForums Tanzania Marais wa nchi wazuiwe kisheria kuropoka kwenye mitandao ya kijamii

    Dunia inakwenda kwa kasi sana kuelekea inakoelekea dalili zikiwa ni wepesi wa mawasiliano baina ya mtu na mtu na kwa jamii kwa ujumla. Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia viongozi wakuu wa nchi wakizungumza mambo mazito ya nchi kwa umma bila kizuizi chochote kile.Kuna mambo mazito ya nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…