mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlalamikaji daily

    kumbe inshu ya maroboti ya kusifia kwenye mitandao ya kijamii ni kweli

    Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana! 1. Profile zote zimeshare content moja 2...
  2. MK254

    Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

    Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni. https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
  3. H

    Umuhimu wa Kuwapa Vijana Elimu ya Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Kijamii

    Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu kubwa ya maisha ya vijana. Vijana wengi wana simu janja na wanatumia mitandao kama vile **Facebook, WhatsApp, Instagram na TikTok. Hata hivyo, changamoto kubwa iliyopo ni kwamba vijana wengi hawana elimu ya matumizi sahihi ya mitandao...
  4. Am the One

    Kero ya Mitandao ya Kijamii

    Changamoto kubwa iliyopo kwa sasa karibu kila mtu amekuwa mwanahabari. Kila mtu anaripoti matukio yanayoendelea duniani, kila mtu ni mchambuzi. Inaboa mno
  5. Busu la Kenge

    Ushangiliaji wa Konate umeleta gumzo kwenye mitandao ya kijamii

    Mpira unaletaga huzuni na kukata tamaa timu yako inaposhindwa. Pia mpira unaleta furaha na kuchangamsha. Video hapo chini inamuonesha Mlinzi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Liverpool Ibrahima Konate akishangilia goli la Ekitike ambalo baadaye lilikataliwa. Kilichowafurahisha wengi kwenye...
  6. McLaren

    PostGE2025 Wakili Mkude: Kesi inajadiliwa kwenye mitandao ya kijamii, mashahidi wanaitwa waongo. Hatukatazi kesi ijadiliwe lakini isiathiri mwenendo wa kesi

    Wakuu, Baada ya media kuanza kuripoti kinachoendelea mahakamani na statements wanazotoa mashahidi kuchekesha na kuonekana ni za ajabu ajabu jamaa wameona sasa waanze kubana na kukataza hizo proceedings za kuripotiwa Jamaa wanakaba kila sehemu ========= Mhe Lissu: Siku ya jana tuliambiwa...
  7. McLaren

    Wanne wakamatwa kwa kujifanya mtoto wa Rais kwenye mitandao ya kijamii

    Wakuu, Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewakamata washukiwa wanne wa uhalifu wa mtandaoni wanaodaiwa kujifanya Binti wa Rais, Natasha Karugire, kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwalaghai wananchi. Washukiwa hao, waliokamatwa kupitia operesheni ya pamoja ya JATT, CID na Idara ya...
  8. L

    Hii Ndio Picha Bora ya siku kutoka kwa Rais Samia iliyoteka mitandao ya kijamii na Hisia Za Watu Duniani Kwote

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa, usishindane na aliyepewa kibali na Mungu, usishindane na aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu. Lazima mfahamu na ifahamike ya kuwa Aliyepewa kapewa tu. Aliyebarikiwa kabarikiwa tu. Huwezi kumpokonya mtu kibali alichopewa na Mungu. Rais Samia ni...
  9. N

    Mitandao ya Kijamii na Majukwaa ya Mtandaoni ni chachu ya ukuaji wa elimu ya Demokrasia Nchini

    Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia. Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
  10. R

    CDF Muhoozi atangaza Mitandao ya kijamii yote kufunguliwa rasmi leo baada ya uchaguzi

    Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
  11. Marco Seth

    Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  12. M

    Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  13. Pakome

    Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  14. Fbn

    Mitandao ya kijamii ndio inavujisha mbinu ndio maana anazikwepa yeye na CCM

    Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha. Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia. Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha...
  15. W

    Wanaotaka kwenda kutalii Marekani watalazimika kutoa Historia ya Mitandao yao ya kijamii ya miaka 5

    Watalii kutoka nchi kadhaa huenda wakalazimika kutoa historia ya matumizi ya mitandao ya kijamii ya miaka mitano ili kuingia Marekani, kulingana na pendekezo jipya. Sheria hiyo ingewahusu wasafiri kutoka mataifa yanayoruhusiwa kuingia kwa siku 90 bila visa, mradi wanatumia mfumo wa ESTA...
  16. stakehigh

    Mohammed Dewji: Mitandao ya kijamii inapaswa kukutumikia wewe si kukuteka wewe

    Anaandika tajiri Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa (X). Nchi nyingi — kuanzia Australia hadi Denmark — sasa zinaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 16.Kwa vijana wa Tanzania na Africa: lindeni akili zenu, muda wenu, na ndoto zenu.Mitandao ya...
  17. K

    Marufuku ya mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 16 yaanza kutekelezwa rasmi Australia

    Taifa la Australia linaanza leo kutekeleza sheria ya Bunge inayopiga marufuku watoto chini ya miaka 16 kutumia au kuwa na akaunti ya mtandao wa kijamii hivyo kuzuia upatikanaji wa majukwaa kama YouTube, TikTok, Instagram na Facebook. Kwa mujibu wa sheria hiyo kampuni zitakazokiuka masharti ya...
  18. H

    Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

    Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada. Sasa dawa yao ni...
  19. Fbn

    Kuna ID nyingi mitandao ya kijamii na zingine zinazotetea utawala huu ukiwajibu ukweli utajua ni ghost na zina ofisi

    ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo wanapinga utawala mpaka zitangazwe na hizo wanapoona comment wanaingia DM wakiomba ujifanye kuwa pamoja...
  20. N

    Kama Una Akaunti ya Mitandao ya Kijamii Uliyoisahau au Hutumii Tena, Nenda Ukaihakiki Mara Moja

    Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi. Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
Back
Top Bottom