mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mitaa kwenye mikoa mbalimbali inayoongoza kwa kuwa na walevi wengi wa pombe

    Kimara- DSM Uyole-Mbeya Ccm-Iringa mjini Kiboriloni-Moshi Himo-Moshi Nyegezi-Mwanza Manzese-DSM Tegeta-,Dsm Tabata-DSm Kwa mrombo-Arusha Matejoo-Arusha Majengo-Moshi Sanawari-Arusha Mabibo-Dsm Buguruni-DSm Mbagara-Dsm Mwananyamala-DSm Sinza-Dsm Mbezi Magufuli-Dsm Kigogo-Dsm
  2. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kuzihoji Halmashauri 39 zenye dosari za Ukaguzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mitaa ya Kariakoo (Mkunguni, Tandamti, Sikukuu, Congo) maji taka ya chemba yamesambaa, si salama kwa afya

    Huku kuna kero ya maji taka Mitaa ya Kariakoo imekuwa changamoto sana yaani pananuka sana (kinyesi) maji yametapakaa sana hasa mitaa ya Mkunguni /Tandamti / Sikukuu/ Congo na mengineyo na ikiwa ni eneo la wafanyabiashara tunateseka sana. Mtaa mwingine ni Mtaa wa Pemba napo kuna changamoto kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu?

    Moja ya vitu tuko nyuma Watanzania ni miundombinu kwenye makazi ya watu. Yeah baadhi ya neighborhood serikali imejitahidi kuweka miundombinu lakini kwa asilimia kubwa bado sana Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu? Kila siku mitaa mipya inajengwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mitaa Iliyonipa Pesa Nyingi Kariakoo

    Habari wakuu, Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu. Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya construction, kitengo cha manunuzi (Procurement). Kazi yangu ilinifanya nizunguke Kariakoo...
  6. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Scotland (FIFA 2026) Waleta Kiama Kwenye Mitaa Boston

    Mashabiki wa timu ya taifa ya Scotland wanajulikana kama Tartan Army ambayo iko kwenye group C na wanatarajiwa kupambana na Morocco leo kwenye Boston Stadium (Gillette Stadium) walivamaia jiji la Boston na kunywa bia zote mjini, baa zote zikabaki tupu. Imebidi kiwanda cha bia mjini hapo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki

    Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ipige marufuku hawa madalali holela wa viwanja mitaa

    Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu. Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa ‘Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa’ hatuoni nafasi zetu za ajira Serikalini

    Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba

    Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi. Imagine tuko magomeni kwenye eneo la ofisi usika lakini maji ni mtihani, je hii ni haki hatupati huduma ya maji?
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  14. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

    Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya. Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Goba, Mitaa ya Nasary & Mwanzo tunapata maji mara 3 au 4 kwa mwaka

    Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi. Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
  16. JamiiForums Tanzania Kariakoo; Na majina ya Mitaa

    Kwanini baadhi ya Mitaa imepewa majina ya lugha/kabila afu baadhi ya lugha/makabila hayana Mitaa. Mfano.. Kuna Mtaa wa Nyamwezi, Sukuma, Swahili n.k ila hakuna Mtaa wa Kurya, Kinga, Makonde n.k.?
  17. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mitaa ya Dar usiku huu ni shwari kabisa, panapokuwaga na foleni leo peupe peeh!

    Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko. Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania. Sasa tufunge mikanda kwa miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Jengo limeshika moto Mitaa ya Aggrey na Sikukuu - Kariakoo muda huu (Agosti 31, 2025)

    Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…