misungwi

Misungwi or Missungwi or Isungwi is a town in Misungwi District, Mwanza Region, Tanzania. According to the 2012 census, the population of Misungwi town is 30,728. It is the biggest town on the trunk road from Mwanza to Shinyanga.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za Huduma Hospitali ya Misungwi Wilaya Misungwi Mkoa Mwanza

    Huduma katika hopstali hii ni mbaya sana ingawa hosptali ina majengo mazuri ya kisasa vifaa vya kisasa, lakini kila tukienda Wanasema mtandao hakuna. Na pia Serikali iweke wazi kama haiwalipi mishahara wauguzi tujue ili sisi wenye wagonjwa tulipe pesa zetu maana nilipeleka mgojwa mpaka masaa 24...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Johari Samizi: Dampo lililokuwa katika makazi ya watu Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi limeondolewa

    Baada ya hoja iliyotolewa na Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuwa kuna dampo kwenye makazi ya watu ambapo pia wanachoma taka na kuleta moshi unaosababisha Wananchi wavute hewa chafu usiku kucha, hatimaye hatua zimechukuliwa. Mdau alidai Wananchi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki katika Kampeni ya Chanjo ya Polio - Misungwi (Mei 2026) hatujalipwa posho zetu

    Vijana tulioshiriki katika kampeni ya chanjo ya polio iliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei 2026 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kati. Mimi nilifanya kazi katika Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, kama mhamasishaji wa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka 0...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Suala la dampo katika makazi ya watu Kata ya Usagara, litashughulikiwa na DC na Halmashauri ya Misungwi

    Baada ya Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Usagara A, Kata ya Usagara, Wilayani Misungwi kueleza kuwa licha ya kutozwa fedha kwa ajili ya uzoaji taka lakini wamewekewa dampo la taka kwenye makazi yao, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ilivyokuwa ~...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Misungwi karibu na Wilaya ya Nyamagana tuna shida kubwa ya maji

    Kwa miaka mingi, wananchi wa maeneo ya Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, yanayopakana na Wilaya ya Nyamagana wamekuwa wakikabiliwa na ukosefu mkubwa wa huduma ya maji safi na salama, huku mji ukiendelea kukua kwa kasi. Maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Nyanshishi, Nyang'homango na Usagara...
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Jitihada, wilaya ya Misungwi - Mwanza imekuwa ni janga kwa wazazi

    Malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili Watanzania wengine walifahamu. Wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokwisha, yaani kwa kifupi shule hii imekuwa na mradi wa kuchangisha pesa kwa wazazi kila siku - yaani imekuwa haina tofauti na private...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Charles Kitwanga naye achukua fomu Jimbo la Misungwi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  8. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya RITA ifanye uchunguzi wa RITA Misungwi

    Habari wana JF, Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni Tsh 30,000 wakati control namba ni Tsh 7,000 achana na hapo toka 3/5/2025 mpaka leo tar 1/6/2025...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi abwaga manyanga na kuhamia ADC

    Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi, Francis Mazigo, ametangaza rasmi kujivua nafasi yake ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), akisema amevutiwa na katiba, sera na mwelekeo wa ADC kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Kupata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

    Ifike hatua tuwe na adabu, Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali, Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mnyeti aiomba Serikali kupeleka Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi

    Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Mnyeti ameiomba Serikali kupeleka vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya. Akitoa salaam kwa niaba ya wapiga kura wake leo Juni 14, 2023, wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukagua...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Misungwi: Kanisa linaloendesha ibada tata labainika, takriban wagonjwa 200 wamekutwa wakihudumiwa katika mazingira duni

    Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Kanisa la ajabu misungwi mwanza limefungwa huku makaburi yakitafutwa

    Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa. Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule

    Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu. Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za migodini huko kanda ya ziwa. Nilizunguka Geita, Kahama, Tarime, na sehemu mbalimbali zenye uchimbaji wa...
  15. Brightly

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa million 25 misungwi mwanza

    Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
  16. Brightly

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Wilaya ya Misungwi ni wa ovyo, takribani miezi miwili sasa hawajawaonesha machinga wa Usagara maeneo ya biashara

    Rais sema nao hao, wamevuruga biashara za watu zaidi ya mia mbili wa mji mdogo (kijiji kilichochangamka) wa Usagara na hawajawapa maeneo mbadala ya kufanyia biashara licha ya eneo kuwepo. Takiribani miezi miwili Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri wanaleta danadana tu na...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ninanauza Mafuta ya Alizeti

    Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
Back
Top Bottom