Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi...