misri

Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. Kutoka 1:8-10

    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi Wamisri wa kale walivyogundua kuwa mwaka una siku 365

    Hawa wamisri wa kale ndiyo watu walioleta ustaarabu tunaouona duniani leo hii. Wagiriki walijifunza ustaarabu kutoka Misri ya kale. Moja ya mambo waliyogundua ni kuwa mwaka una siku 365. Waligundua namna hii. Ukichunguza jua kwa mwaka mzima utaona kuwa sehemu linakichomoza na kuzama hubadilika...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

    Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa. Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini...
  4. JamiiForums Tanzania Ofa ya Misrikuboresha mpango mzima wa Dodoma itakubaliwa?

    Katika ziara yake nchini Misri, Rais Samia alipewa ofa na Wamisri waboreshe plan nzima ya mji wetu mkuu Dodoma, iwe na ubora wa plan ya mji mkuuu mpya wa Misri. Kwa watu waliotembelea Misri hivi karibuni, kama miye, na wale waliofuatilia plan na ujenzi wa Cairo mpya, watakubaliana nami kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

    Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja. Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini. Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue...
  6. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Misri

    Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana. <<<Angalia mpaka mwisho >>>
  7. JamiiForums Tanzania Misri: Marufuku kwa Wafanyakazi kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa yaanza kutekelezwa

    Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo Zaidi ya watu Milioni 14...
  8. JamiiForums Tanzania Nge waua watu Misri

    Misri: Nge waua watatu na kujeruhi mamia huko Aswan Saa 3 zilizopita CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Nge waliosambaa kusini mwa Misri wamewauma watu watatu hadi kufa baada ya dhoruba kali kuwakimbizika katika makazi yao na kuwaleta mitaani na majumbani. Takriban watu 450 zaidi walijeruhiwa kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tumeenda Misri kuwapigia magoti makandarasi wa JNHPP?

    Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna. Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini. Hongera mama My take:- Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha ziara yake Misri leo na anarejea na Air Tanzania

    Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri. Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii mindege ifanye kazi zilizokusudiwa badala ya kupaki tu pale kipawa. Ni hayo tu.
  11. JamiiForums Tanzania January Makamba unaturudisha Misri

    Hapo vip!! Kwanza huwa na kukubali kwasababu ni moja wa viongozi vijana unayejielewa na unabusara pia. Ila lazima nikuchane inapotokea jambo ambalo halijakaa vizuri!! Hili swala la mgawo wa umeme tena ya kushtukiza na kimya kimya..ni tafsiri mbaya kwa wanzania. Kumbuka swala la umeme ni swala...
  12. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Misri ni kete muhimu kwenye Diplomasia ya Uchumi Tanzania

    MISRI NI KETE MUHIMU KWENYE DIPLOMASIA YA UCHUMI TANZANIA Uhuru Na Umoja Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan katika mahusiano na mataifa mengine duniani. Ziara ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ijue nchi ya Misri

    Jiografia Misri imepakana na Bahari ya Mediteranea, Israel, Eneo la mamlaka ya Palestina, ghuba ya Suez, ghuba ya Aqaba, Bahari ya Shamu, Sudan na Libya. Umbo la nchi hufanana na trapeza. Tabianchi ni yabisi sana na maeneo makubwa ni jangwa, pamoja na oasisi na maeneo ya savana ya miiba. Karibu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye ziara yako huko Misri kuwa makini na ishu ya maji ya ziwa victoria

    Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile. Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi...
  16. JamiiForums Tanzania Misri kuwazuia wafanyakazi ambao hawajachanjwa kwenda kazini

    Misri itawazuia wafanyikazi wa umma ambao hawajachanjwa dhidi ya kuingia katika majengo ya serikali kutoka katikati ya mwezi ujao. Ilani ya baraza la mawaziri Jumapili ilisema wafanyikazi watalazimika kupewa chanjo au kufanyiwa vipimo vya Covid kila wiki ili waruhusiwe kuingia kwenye majengo...
  17. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri, Hussein Tantawi afariki dunia

    Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia. Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak. Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna wakati Waethiopia walitawala Misri yote hadi Israel?

    wakati wa mfalme Asa wa Yuda (913-869 BC) kitabu cha pili cha mambo ya nyakati, sura ya 14. Mstari wa 9-14 kisa hiki kinasimuliwa. 9Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha. 10Asa alitoka akaenda kupigana naye...
  19. JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Daraja limekatika, Mto umejaa maji kuvuka ng'ambo ya Kanaani-Dereva anageuza kuelekea Misri

    Wana Jukwaa nguli, Gari limeshindwa kuvuka mto kwenda kanaani baada ya daraja kukatika kwa maji ya mvua iliyonyesha ghafla. Dereva anageuza gari kurejea Misri ambako uhuru na starehe zote zipo. Abiria ndani ya gari wanahoji tunaenda wapi? Dereva na konda wanajibu si mmedai mtakula wapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…