Kwanza poleni kwa misiba. Japo mpo kwenye huzuni lakini tuongee hili suala la kutangaza misiba barabarani.
Mbeya kama msiba unasafiri, basi msafara unakuwa na gari la matangazo ambalo linakuwa na MC akitangaza msiba. Utasikia, "Ni huzuni ni huzuni kwa wafanyakazi wa benki ya NMB kufiwa na...
Binadamu kila ahsubuhi huwaza jinsi ya kuifanya future yake kuwa poa
Hujua kuna mambo ya lazima kabisa yatamtokea mf. njaa, kuumwa au kuokota mchumba barabarani n.k
Hujiandaa kwa kutembea na kinga, kuwa na bima na pesa ya kula
Lakini kifo kipo mbele yetu na tunajua ni lazima kije kwanini...
Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia.
MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda...
Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
MISIBA YA BONGO
Wawe Wakristo, Waislamu au hata wasio na dini rasmi ambao Watanzania tunapenda kuwaita Wapagani utadhani kitu kibaya, kitu kimoja ambacho kinatuunganisha kama binadamu wote popote ni Kifo na kwamba siku moja wote kitatubeba tukitofautiana Ratiba tu. Kuna ambao wanafariki wakiwa...
Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana.
Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.
Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari.
Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
Katika hali ya utafutaji imesababisha watu kutoka katika mikoa yao ya asili na kwenda mikoa ya mbali au hata nchi tofauti na walikozaliwa na kama ilivyo kwenye kutafuta wapo waliofanikisha kupata huku wengine wakiwa bado wanatafuta.
Kwa mtu ambaye yupo mbali na kwao panapotokea msiba au sherehe...
Natumai hamjambo wakuu.
Wakuu, misiba ya sasa imekua majanga sana, yaani badala ya watu kwenda msibani kusitiri na kuwafariji wafiwa badala yake misiba imegeuka vijiwe vya majungu na kuwajadili wafiwa A-Z
Sasa mi najiuliza kuna manufaa gani kuwajadili wafiwa tena in negative way? Zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.