misiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Misiba ya matajiri vs misiba ya masikini

    Ndugu zangu.. Kumekua na tabia mbaya ya watu kuhudhuria kwenye misiba kwa kubagua kutokana na itikadi zao na hali ya kiuchumi ya marehemu au familia na ukoo wa harehemu husika kama tunavyojionea huko kwenye jamii zetu. Ndugu utakuta kwenye misiba ya familia zinazojiweza kiuchumi watu...
  2. Kwenu wasindikiza misiba na wafiwa mikoani

    Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri mazingira tunayo yakuta huko misibani kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa...
  3. Poleni Wanayanga kwa misiba ilijitokeza kwa ndugu wa wachezaji na viongozi

    Kupitia mitandao yao ya kijamii, Yanga imetangaza kwamba wamepata misiba miwili ya mchezaji wake mmoja na kocha wao kupoteza wazazi wao. Katika kumbukumbu zangu za haraka, hii ni baadhi ya misiba iliyowakumba wachezaji na watendaji wa Yanga katika miaka hii 3 iliyopita: Mwamnyeto - Mke na...
  4. Huu undugu wa kukutana kwenye misiba tu haufai

    Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana. Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe. Kwa mtazamo wangu...
  5. Misiba imeshika hatamu sababu kubwa zifuatazo chukua katahadhari

    Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy 1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto. 2. Pressure hio ndo zaidi 3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi. 4. Uwizi 5. Ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
  6. Kwanini misiba ya viongozi wengi wa Waafrika inaombolezwa kwa muda mrefu zaidi kuliko mataifa ya nje

    Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1] vs Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2] Soma zaidi: 1. Iran yatangaza siku 5 maombolezi kifo cha Raisi 2. Malawi yatangaza siku 21 za maombolezi kifo cha makamu wa raisi.
  7. M

    Michango ya Rambirambi za Misiba kwenye makundi ya Whassap imegeuka mzigo kwa wachangiaji

    Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi unakuta lina wastani wa watu 20 mpaka 50 na mengine yanafika watu 100. Katika makundi haya, ndani ya...
  8. T

    Viongozi wetu-proactiveness mbona zero? Au tunasubiri maafa tuunde tume na team za misiba?

    Fungua attachment 1 na 2 chini. Hilo ni daraja kuu Mwanza, uhuru kwa chini. Ukipita juu ya daraja limeshaanza kumomonyoka picha namba moja. Ukikaribia kulia utaona daraja kubwa hilo lote limejaa mchanga upande wa maji yanapoingilia kweye daraja (picha na 2), huo ni mchanga vimaji hivyo vinapita...
  9. Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

    Marehemu wa Kwanza atazikiwa Pretoria Afrika Kusini Saa 5 Kamili za Usiku na Marehemu mwingine atazikwa Cairo Misri Saa 7 Kamili za Usiku. Poleni sana Wafiwa wote kwa hii Misiba Miwili ya Wapendwa wetu hawa Kulwa na Dotto. Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe. Amen.
  10. Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

    Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa...
  11. F

    Kwenye misiba tunafanya nini hasa, kuaga mwili wa marehemu au kumuaga marehemu? Kutoa heshima kwa mwili wa marehemu au kutoa heshima kwa marehemu?

    Kifo ni fumbo. Ni nini hasa hutokea mtu anapokufa? Je binadamu ni nini hasa mwili au pumzi ya uhai ndani ya mwili au vyote? Je ni sahihi kusema tunaaga mwili wa marehemu au tunamuaga marehemu? Je hata wale wasioamini maisha nje ya mwili hufanya nini mbele ya miili ya marehemu? Kuheshimu, kuaga...
  12. G

    Kuna kipindi kunakuwa na msururu wa misiba ya watu unaowajua, huwa kuna nguvu yoyote kiroho?

    Wiki iliyopita Baba mkubwa wangu alifariki, Siku mbili zijazo kuna msiba wa jirani nyumba zetu pua na mdomo, ghafla tena kuna msiba wa mama wa jirani yangu wa ofisini,
  13. Kumbe kwenye misiba kuna uzinzi namna hii?

    Nisiongee sana Inabidi tuwe makini kwenye hii misiba yetu hasa usiku, tukae karibu na wafiwa.
  14. F

    Misiba ya watu wa Kaskazini hugeuka kuwa bonge la party mara tu baada ya watu kuzika!

    Nimeshuhudia misiba mingi ya watu wa kaskazini mwa nchi hii. Kama safari inaanzia Dar, basi safari hiyo hugeuka kuwa tour kwa baadhi yao hasa wale wasindikizaji wasiokuwa na uhusiano wa moja kwa moja na wafiwa. Utakuta watu wapejipachika na vistarehesha kibao, ndani ya magari kumesheheni vilevi...
  15. Misiba ya watu weusi ni tamthilia tupu!

    Misiba yetu huwa ni event fupi yenye mambo mengi ya ajabu, yakuchekesha, kuhudhunisha na kustajaabisha. Misibani huwa ndio fursa nzuri kwa ajili ya wambea na wanafiki. Wanatunga stori kuhusu kifo na maisha ya familia yenye msiba. Unakuta kuna vikundi vikundi vya wakina mama, vya wakina baba...
  16. Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro. Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi...
  17. Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  18. Michango kwenye misiba ya wasanii inatoa somo zito kwa serikali na wasanii

    Wakuu tangu jana baada ya kusoma taarifa za kuugua kwa msanii Haitham Kim (R.I.P) na bahati mbaya leo kufariki nimejikuta nikitafakari sana mambo mengi. Nimejitafakari mimi binafsi, familia yangu, wasanii na watanzania wote kwa ujumla kuhusu ishu za afya na kujikuta nikisononeka. Ila wakati...
  19. Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  20. Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

    Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza. Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…