Nini kio nyuma ya pazia ?
Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara.
Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa.
Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani.
Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze mishaara kufikia laki 6, walipoambiwa hivyo wakatupandishia target kufikia milioni 20 kwa mwezi ili...
Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu.
Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo.
Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
Kero yangu ni kwamba Watumishi kuanzia Wauguzi wasaidizi (nurse), Madaktari wote wa Mkataba tunakumbana na changamoto ya...
Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri
Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa .
HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
Kwako Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Dr .Aaron Kagurumjuli , MADEREVA wa mkataba tumekuwa tunacheleweshewa mishahara kila mwezi hivo kupelekea kufanya kazi kwa mawazo,
Kazi yetu inahitaji kuwa vizuri kimwili na kiakili ,mishahara imekuwa Hadi tarehe 15 ndio inatoka ,hii sio fair kabisa...
1. Baba Rais mstaafu na trip za Western Countries kibao a month
2. Mama mbunge na mafao ya wenza
3. Mtoto waziri
4. Wajukuu ma CEO
All combined wizi na biashara haramu za wizi wanazofanya zisizolipa kodi
Habarini wanajukwa?
Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Najua mna akili za kuvukia barabara tu.
Najua wengi wenu hamuelewi hata maana ya kusimamia maslahi ya Taifa na Wananchi ni nini?
Najua wengi wenu hamuelewi kuwa kiapo cha kwanza cha askari dunia nzima ni kulinda raia na wananchi.
Najua wengi wenu mnanogewa na hivyo vimishahara mnavyolipwa na...
Kama kicha kilivyo kichwa cha habari tunaomba sana sana waongezewe mishahara wale polisi waliokuwa front line siku ile tarehe 29 Oktoba, Tena na wapande cheo , ushauri wangu tuitishe haramabee ya wafanyabiasha na sisi wananchi ili kila pilisi aliyepiga risasi sahihi yaani za kichwa apate angalau...
Watanganyika tumeamua.
Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao.
Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
Kwa kasi ya mismanagement ya uchumi na ufisadi ambao tumekuwa tukiusema hapa kila siku jumlisha na fedha zinazoenda kwenye kampeni uchwara, Hazina Kuu imekauka.
Hadi leo hata hao mapolisi hawajalipwa. Bank overdraft ya BOT haijatosheleza. Baada ya uchaguzi Tanzania kuwa Zimbambwe ya Kisasa.
Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni
Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo.
Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia...
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.