Hizi nchi zetu masikini ikitokea changamoto kidogo ni shida kubwa sana.
Tanzania inategemea mapato ya utalii kwa zaidi ya 25%. Utalii mwaka huu ni kama umekufa kabisa kama sio uko chini ya 2%. Hasa kipindi hiki cha March hadi June hua kuna watalii wengi sana nchi hii, ila sababu ya corona kila...