miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Grahams

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya miradi ya uwekezaji inayoweza kufanywa na wastaafu

    Salaam, Kila mtumishi aliyeajiriwa, akumbuke itafikia wakati atalazimika kustaafu kazi. Kustaafu huku inaweza kuwa ni kwa hiari ama kulazimishwa kutokana na Umri (Miaka 60 ama 65 kwa Wakufunzi wa Vyuo Vikuu) ama sababu za Ulemavu ama Maradhi yasiyotibika. Kwa kujua huku kwamba kuna siku...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Usaidizi ktk Maandiko ya miradi

    Salam! Kwa mtu binafsi Kwa biashara yoyote Kwa NGO yoyote Kwa taasisi yoyote ya elimu Kwa taasisi yoyote ya kidini IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA: 1) Kuanzisha/kuboresha/kupanua biashara au Mradi 2) Kufanya Tathimini ya maendeleo ya biashara au...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bunge laridhika na utekelezaji wa Miradi ya Misitu na Nyuki, laipongeza Wizara

    Na John Mapepele Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhika na miradi mbalimbali ya misitu na nyuki inayotekelezwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Misitu na Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki Tabora (BTI) na kupongeza kwa kazi nzuri inayofanyika...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miradi 77 Inaendelea Kutekelezwa na TANROADS Nchini

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache. Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
  8. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je mawaziri kufungua miradi isiyo ya sekta yao ni ubunifu au kasi ya awamu ya sita?

    Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni 1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Mchengerwa kwa wakandarasi ni chachu katika kukamilisha miradi kwa wakati

    UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI. Na, John Swai Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Salaam Wakuu, Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP), Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni kukabili changamoto zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam kwa kutilia mkazo uboreshaji wa huduma za...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

    Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua! Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Akagua na Kuzindua Miradi Mkuranga - Pwani

    BASHUNGWA AKAGUA NA KUZINDUA MIRADI MKURANGA - PWANI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege lililojengwa na kukamilika kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga lililogharimu kiasi cha Shilingi Milioni...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  15. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji tunaupenda sana, ila kwanini wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye miradi iliyoiva?

    Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika? Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru wamulika miradi ya maendeleo - Kibondo

    Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea nchini. Katika Jimbo la Muhambwe, Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi ya Maji, Madarasa, Bweni na...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi ya Maendeleo Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kuunufaisha na kuufungua kiuchumi Mkoa wa Kigoma ndani...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika miradi ni kama ushauri katika maeneo mengine ya kitaalamu

    Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine wana elimu ndogo, za kati, na za juu. Ni wachache wasio na elimu rasmi, ila wana ujuzi na uzoefu...
Back
Top Bottom