miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu ziarani Mkoani Njombe kwa ajili ya kukagua miradi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja. Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

    Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania. Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, yakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali imesajili miradi ya Dola Bilioni 8.65 ndani ya mwaka mmoja

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini. “Miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 ilisajiliwa mwaka 2023...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ole Lekaita ampa tano Rais Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha wananchi wanapata...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua Miradi ya ujenzi Kituo cha Utalii na Kituo cha Utafiti

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yampongeza rais Samia kwa fedha za miradi ya REGROW

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
  9. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawahoji nyinyi raia wenzangu; Kwani ni lazima kuita majina ya viongozi miradi iliyojengwa kwa kodi zenu?

    Kwa hasira kuu. Huu uchawa pro-max ukome. Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya kishamba yasiyo na swagger kila kona. TUMECHOKA...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya China barani Afrika yachochea maendeleo ya uchumi na kutoa nafasi nyingi za ajira kwa watu barani Afrika

    Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali Imetoa Mikopo ya Tshs. Billioni 1.2 kwa miradi 57 ya Vijana 2023/2024

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
  12. ferucho lamborgini

    JamiiForums Tanzania Serikali inaachia pesa lini kwenye miradi yake? hali ni tete mtaani

    wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Benki ya biashara tanzania (TCB) yaendelea kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa kutoa ushirikiano katika miradi ya miundombinu

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tusikubali miradi ya Ujenzi ifungwe, tuisaidie Serikali ila tusikope!

    Wakati Wana CCM wakielekeza akili zao na nguvu zao kushinda chaguzi "kwa kishindo" huku chini Hali sio nzuri kabisa. Na huku Wakandarasi wakimnunulia Rais ndege kwa ajili ya shughuli zake za kisiasa( naweza kurekebishwa hapa) Miradi ya ujenzi wa inasimama, SABABU Wakandarasi hawa hawajalipwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Familia ya Sauli yaeleza miradi watakavyoisimamia, watoto watakavyoishi

    Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila imesema kumpoteza mpendwa wao huenda baadhi ya miradi ikayumba hususan ya mabasi huku ikisisitiza imejipanga kusimamia vyema migodi ya dhahabu ili kuwasaidia watoto wake. Mwalabhila maarufu kwa jina la Sauli...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba Awataka Viongozi Halmashauri Kusimamia Miradi ya Elimu kwa Weledi

    NAIBU WAZIRI KATIMBA AWATAKA VIONGOZI HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI YA ELIMU KWA WELEDI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa shule mpya maalum za wasichana za mkoa kuhakikisha wanaongeza...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kusimamia miradi

    Habari, Nawasalimu, na kujipambanua kwenu kuwa kupitia elimu na weledi wangu katika masuala ya kutoa huduma ya kuandika maandiko au mapendekezo ya miradi, nipo hapa tena kwa huduma jumuishi na ya kimkakati ya kusaidia kusimamia mradi wowote hatua kwa hatua katika nyanja zifuatazo: 1) Monitoring...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je watanzania wanafahamu kuhusu miradi ya TACTIC kwa upana?

    Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imeendelea kutoa mafunzo ya masuala ya kijamii na Mazingira kwa watumishi wa Halmashauri Tanzania, zinazotekeleza awamu ya mbalimbali za mradi wa TACTIC inayotekelezwa kwa fedha za mkopo kutoka benki ya Dunia. Mafunzo yamefanyika...
Back
Top Bottom