UHURU NI MUHIMU LAKINI UHURU WENYE MIPAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kila kiumbe kinahitaji UHURU. Zaidi viumbe wenye utashi Uhuru kwao ni Moja ya mambo MUHIMU na ya lazima katika maisha yao.
Kwa Sisi Watibeli, Uhuru ni Jambo Pana ambalo ndani yake lazima lisimamiwe na lifafanuliwe...