Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani
Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali.
Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...