mimi

  1. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  2. JamiiForums Tanzania Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

    Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?. Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino. min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe. adriz de...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je nitalipwa fidia kwenye eneo langu ambalo serikali imekusudia kupitisha Barbara na Mimi nataka kujenga?

    Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu. Leo wanaJf nimekuja na hili.Hapo zamani nilinunua kiwanja huko Dodoma Squaremita 453 .Nikaondoka muda...
  4. JamiiForums Tanzania Naona madaktari bingwa kabisa wamepanic kuhusu mimi 😁😁😁

    Aseee mimi ni mchaga mmoja mpumbavu tu ,ambae nilimaliza elimu yangu chuo kikuu cha udom kama mkunga na nursing. Now bado nasoma na ninatafuta degree ya medical doctor kwa sasa , na nyie mnaodharau ma nesii na wakunga , madaktari wa bongo nyoso wa ugoko tunawajia kwa kasi ya 6 g gademitt 😁
  5. JamiiForums Tanzania MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

    Habari Wakuu, Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati? Usijali tena. Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi nafikiri wewe mshabiki wa man utd mwenzangu tuachane na matumaini tena, ili kulinda afya yako ya akili achana na kujipa moyo tena.

    Usiishabikie man utd kwa moyo kama ule uliokuwa nao kipindi cha fergie. Its over.
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye kila Mimi ni kama huwa kuna Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, je Mimi ni nani?

    Embu anza kuangalia kwenye namna unavyojimililisha vitu, utaona ni kama kuna Mimi ambayo iko nyuma ya Kila Mimi. Ukiulizwa jina, utasema naitwa fulani, utasema mwili wangu, utasema mkono wangu, utasema moyo wangu na kadhalika. Kwenye Kila umiliki hapo utaona ni kama imekaa hivi… mkono wangu...
  8. JamiiForums Tanzania Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda..

    Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni ...
  9. JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  10. JamiiForums Tanzania Nimechelewa sana kugundua kuwa mimi ni masikini

    Tangu utotoni nimeishi kwenye comfort zone. Kwangu, kula milo mitatu kwa siku, kupata mahitaji muhimu, kulipiwa ada na kuwa na mahali salama pa kuishi vilikuwa vitu vya kawaida. Kwa kifupi, nilijiona ninaishi maisha mazuri sana. Hadi nilipomaliza chuo na kuanza kujitegemea mwenyewe. Hapo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  12. JamiiForums Tanzania Mimi sili ugali

    Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapi
  13. JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni mitihani mashuleni.

    Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao? Mbona technology imewarahidishia sana hawa watoto wa sasa, material wanapata kwa urahisi sana tofauti na sisi hapo nyuma.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa ngazi za chini wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi tunateseka sana

    Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi. Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

    Kipindi alikiba ana toa Cinderella mpaka alikiba ninalia naumia mwenzio, huyu HEMED alikua kitoto back to back Leo HEMED mkubwa Kwa king dah au Mimi ndo nimewachanganya
  16. JamiiForums Tanzania Mbona sioni hashtag free Dr Emanuel Nchimbi mpaka sasahivi? WATANZANIA mmeanza kuzoea upotevu wa watu? Hay Mimi naanza FREE DR NCHIMBI

    Kwamba hqtujui kama huyu mtu hayupo kwa familia yake, hayupo ikulu? Na hajulikani alipo mpaka muda huu? Nawashauri msikate tamaaa nyinyi semeni freeee Tundu Lissu Free Dr Nchimbi ukimnya WENU ni hatari kwako na kwangu maana hatuko salama mpaka tukimbilie kenyaaaaa.
  17. JamiiForums Tanzania Naona red black kanizungumzia mimi🤣

    Red black nashukuru sana kwa kujali , ila sijui kama wewe una hata level za kunizungumzia mimi asee😅 Au ni vile tuna kutana humu JF tu , ndio mnaona mnauwezo wa hata kukutana na kila members humu🤣 Ndio nyie nyie members mnaomba 2000 humu😄
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

    MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu . MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu. YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa . yaani mawazo yenu yatasaidia
  19. JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihitimu UDSM Mwaka 2021 lakini sijarudishiwa "caution money" mpaka leo, je kuna wangapi wanapigwa kama mimi?

    Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa awali, wanafunzi hutakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000 kama caution money. Hata hivyo, baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…