mimi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Siamini kama leo mimi nimekuwa simple

    Kwema wakuu, Yaani demu wangu kanisaliti na mtu mwingine. Yaani kakaza mpaka mi ndo imebidi niombe msamaha. Dah hatari sana kwakweli
  2. JamiiForums Tanzania Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

    Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
  3. JamiiForums Tanzania Nina huduma ya kwenda kufunga mzigo kama ni Kariakooo au popote Dar

    Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote Nina huduma ya kwenda kufungia mzigo kama ni...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja ya kuhesabu pesa Baada ya kutoa Atm? Mimi hua nahesabu duh.

    Japo nahis nakua kama kituko hivi, ila hua nahesabu kila napoenda nahisi mashine inaweza wrong hivi.
  5. JamiiForums Tanzania Mimi ni Wasiri Katibu Tarafa wa Mkulukulu

    Zamani nilikuwa katibu kata sasa nimepindishwa cheo Sifa zangu (nyingine za kijinga) . Kupenda mipasho ya mitandaoni . Hulka ya kujiona najua kila kitu . Hasira na ghadhabu bila sababu za msingi . Vinyongo vikali mno . visasi na malipizi kwa uzito unaostahili . Kwangu mimi adui simpondi Miguel...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

    Habari zenu wakuu, Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita mwaka huu na sababu iliyofanya kutengana ni mke wangu kuanza kubadilika, ana kiburi kupita kiasi...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi...
  9. JamiiForums Tanzania Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

    Wakuu.... Naombeni niwaulize kitu; Hivi mfano ndani kuna Mchele, mafuta, nyanya, kitunguu yaani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu na sio kila siku atakosa hiyo mboga kwa kuwa ni upepo mbaya umepita sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu? Unajua...
  10. JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  11. JamiiForums Tanzania Mimi ni Domo zege natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
  12. JamiiForums Tanzania Mgeni mimi mnipokee

    Mambo vipi wanajukwaa? Mimi ni mgeni kabisa humu, nipokeeni kwa mikono miliwi. Pia ninaleta andiko la kuomba ushauri katika haya maisha.
  13. JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Yanga katika vitu sitamani vitokee ni Mgunda kurudi 5imba

    Huyu kocha ni mtu wa hatari sana, katika vitu nafurahishwa navyo ni pale ninapoona 5imba hawana mpango naye, Ila katika makocha wajuzi na hatari hususan kwa Ligi yetu ni Juma Mgunda a.k.a Mzee wa acha boli litembee, mzee wa pira biriani. Huyu jamaa akiachiwaga timu mfano pale alipofukuzwa Tinyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

    Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE. Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Harufu ya vita kuu ya 3 ya dunia inanukia. Umejipangaje wewe kama wewe? Mimi nimejipanga hivi!

    👉Mimi Binafsi nimejipanga Kula papuchi nyingi FRESH kwa kadri nitakavyo weza. Why & HOW? 👇 👉Effect za vita zitaiathiri dunia nzima. 👉Kwenye suala la uchumi hali itakuwa kama korona vile. 👉Umasikini utaongezeka maradufu. 👉Mabinti hawatakuwa na kimbilio zaidi ya kujisalimisha kwa akina...
  16. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania 40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini benchi la Simba wanapuuzia ushauri ninaowapa mimi mzee mutu ya boli?????

    Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege) Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Wakuu kwema. Naombeni ushauri kwenye hili suala. Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu. Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali. Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Aina hii ya watu huwa na washangaa sana. Huenda na wao pia huwa wananishangaa

    Mungu awe nanyi nyote. Nikweli kwamba hatuwezi fanana kwa kila kitu wala kupangiana vitu vya kufanya. Sasa kuna hawa watu yaani unakuta analalamikia kitu hadi unauzika ukimwambia achana nacho ufanye kitu kingine anakuambia hawezi acha kwa sababu flani fulani zisizo hata na mantiki yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…