milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haji Manara amepunguziwa adhabu ya Faini kutoka milioni 20 hadi milioni 10

    Kamati imetangaza mapema leo kwamba Haji Manara atapunguziwa adhabu yake aliyopewa awali. Kwenye suala la hela imeshuka kutoka ilipokuwa awali milioni 20 hadi milioni 10 na azilipe ndani ya siku 30, ila miaka miwili ipo palepale. Full story: --- Picha: Haji Sunday Ramadhan Manara Msemaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  3. JamiiForums Tanzania Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Mbarali: Wahujumu uchumi wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 65.5

    Waliopewa adhabu hiyo ni George Kagomba aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Ferdinand Manyele Mweka Hazina wa wilaya, Athuman Mwasomba aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi. Wengine ni Bakari Nyamu aliyekuwa Mtakwimu Wilaya ya Mbarali, George Mbilla aliyekuwa Diwani, Mikidadi Mwanzembe...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

    Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye thamani ya milioni 45

    Habari zenu wana JF Kuna nyumba inauzwa milioni 45 maeneo ya Kivule, ina sebule, dinning, jiko, vyumba vitatu vya kulala na kimoja master. tiles kote, madirisha ya aluminium, gril, matanki ya vyoo, maji ndani na umeme upo tayari, n.k. Nataka niendek benki nichukue mkopo nikanunue, je napigwa au...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Jipatie Shamba Vigwaza la ekari saba na nusu kwa Milioni 20

    Karibuni mjipatie Shamba la eka saba na nusu kwa bei nafuu ya shilingi milioni 20. Shamba liko umbali wa kilomita tatu na nusu kutoka barabara ya lami ya Dar Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku, mbuzi, bata na mifugo mingine. Huduma ya maji ya DAWASA imesogezwa karibu na shamba...
  8. JamiiForums Tanzania Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija. Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...
  9. JamiiForums Tanzania TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 ZamaMpya TV (DarMpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

    Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari. Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  11. JamiiForums Tanzania Watu Milioni 771 duniani hawawezi kusoma na kuandika

    Kujua kusoma na kuandika bado ni inabaki kuwa ndoto kwa watu wengi duniani, ilihali elimu ni huduma ya msingi inayotolewa kwa wananchi ili kuwapa stadi na maarifa. Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la UNESCO, vijana/watu wazima milioni 771 hawana msingi wa kujua kusoma na...
  12. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Milioni 13 ya pesa za tozo yatumika kujenga mradi mkubwa wa maendeleo

  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mvuta sigara anavyotumia wastani wa kiasi cha Tsh milioni 16.9 hadi Tsh 42.3 kununua sigara karibu kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm Club Tsh...
  15. JamiiForums Tanzania Korogwe: Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kuficha milioni 100 za ufadhili wa ujenzi wa shule

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za mfadhili za ujenzi wa shule. Agizo hilo amelitoa jana Alhamisi Septemba Mosi 2022 wakati wa mkutano...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wapiga kura hewa nusu milioni walipiga kura katika uchaguzi wa Kenya-Mlalamishi Okiya Omtatah adai

    Seneta mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika takwimu zilizotangazwa na Tume ya uchaguzi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9. Akizungumza katika Mahakama ya Juu, Bw Omtatah alisema “wapiga kura hewa” 508,687 walishiriki uchaguzi...
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili. Hizi hapa nukuu za Mbowe... “Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga...
  18. J

    JamiiForums Tanzania TBS yateketeza Vipodozi vyenye viambato sumu na bidhaa zingine zilizokwisha Muda wa matumizi zenye thamani ya takribani Sh. Milioni 400

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yateketeza bidhaa zenye thamani ya takribani Sh Milioni 400 bidhaa hizo hazikidhi Viwango vya ubora na kuisha Muda wake wa matumizi. Kwa upande wa Vipodozi ni vile vyenye viambato sumu zisizofaa kwa matumizi kwa binadamu. Dk. Kandida P. Shirima (Kaimu...
  19. JamiiForums Tanzania UN: Raia milioni 6 wa Afghanistan wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa

    Umoja wa Mataifa imesema kwamba Waafghanistan milioni 6 wako hatarini kukabiliwa na njaa, huku majira ya baridi kali yakikaribia na mashirika ya kibinadamu yakiwa na uhaba mkubwa wa fedha Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths amesema watu milioni 24 nchini humo wanahitaji msaada wa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kila kata hatuwezi fanya harambee za kuboresha shule zetu?

    Habari wadau. Kwanini tusifanye harambee kuboresha shule zetu ili vizazi vyetu vipate elimu bora na kupata taifa la wenye akili. Kuna uzi humu kanisani kijitonyama milioni 300 ya kununua nyumba ya mchungaji ilichangwa nusu saa tu. Nikawaza watoto wanaosali hapo kanisani je wote wanapata elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…