milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania META yasema watumiaji milioni 1 wa Facebook wamedukuliwa

    Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja. Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania RIPOTI IGAD: Watoto milioni 10 wana Utapiamlo Afrika Mashariki

    Ripoti hiyo mpya ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika imeonesha Watoto milioni 10 wana Utapiamlo huku zaidi ya watu 380,000 wakiwa kwenye hatari ya kufa kutokana na njaa. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo Workneh Gebeyehu ametaja sababu kuwa ni ukame ambao haujawahi kutokea kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili, 10% pekee wametibiwa

    Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya ambapo watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili huku matumizi ya teknolojia kama mitandao ikiwa moja ya sababu iliyotajwa na wadau. Msongo wa mawazo pia ni changamoto nyingine inayokumba watanzania. Wiki hii dunia inaadhimisha wiki ya afya ya...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  5. JamiiForums Tanzania Australia: Serikali yabadili Sheria ya Taarifa Binafsi baada watu Milioni 9.8 kudukuliwa

    Kwa sasa kampuni za Mawasiliano ya Simu ikiwemo Optus zitatakiwa kushirikiana na Taasisi za Fedha na Serikali ili kuchunguza na kupunguza hatari ya matukio ya Usalama wa Mtandao, Udanganyifu, Ulaghai na Matishio mengine ya Kimtandao. Uamuzi huo wa Serikali unalenga kuwalinda Wateja waliokutwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dereva aliyemgonga Twiga kulipa faini Tsh Milioni 34.9

    Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Septemba 29, 2022 ambapo kwa sasa dereva huyo anapatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo. Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa...
  7. JamiiForums Tanzania Usipochanja Mbwa, Paka faini Tsh. Milioni 10 au jela mwaka mmoja

    Ili kudhibiti kuenea na kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa sheria inasema kila mfuga mbwa au paka kumchanja ili kuzuia kichaa cha mbwa na endapo hatozingatia basi adhabu yake ni faini ya kati ya Shilingi 500,000 hadi Shilingi milioni 10 au kifungo cha mwaka mmoja jela. Mkurugenzi wa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio malipo na faida za Mawaziri wa Kenya ikiwemo kulipwa Tsh Milioni 17.6 kwa mwezi

    Wakati Baraza la Mawaziri la Kenya lililoteuliwa wiki hii likisubiri kuidhinishwa na Bunge imebainika kuwa malipo ya mwezi kwa kila Waziri ni Ksh. 924,000 (Tsh 17,656,624). Malipo hayo yanajumuisha Mshahara Ksh 554,400 (Tsh. 10,593,974), posho ya nyumba Ksh.200,000 (Tsh. 3,821,780) na malipo ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Zaidi ya wanachama milioni 2 wamejitokeza kuomba kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali

    Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi. Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara. #KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
  10. JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

    Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar. Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ulitumia muda gani kupata mtaji wa milioni 3 kwa kutumia mshahara wako?

    Naam tuachane na ile mambo ya kukopa. Tuchukulie ile akiba kidogo inayoweka kutokana na mshahara wako tu unaolipwa kama umeajiriwa. Uliweza kutumia miezi, miaka ama decade ngapi kupata mtaji wa Tshs. Milioni 3? Mjadala huu utasaidia waajiriwa wengi kujijua wapo kwenye hali gani kulingana na...
  12. JamiiForums Tanzania META yapigwa faini Tsh. Milioni 406.9 kwa kuiba huduma ya 'Live Streaming'

    Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la kurekebisha matatizo ya mawasiliano ya kivita. Meta walituhumiwa kutumia huduma hiyo kwenye Instagram na...
  13. JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi 4 wasimamishwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 300 za Ujenzi wa Hospitali

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanne walioiingizia serikali hasara ya shilingi milioni 300, kwa kujenga majengo ya hospitali ya wilaya ya Nsimbo chini ya kiwango na fedha zingine kutokujulikana matumizi yake. Mrindoko amefikia hatua hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi 4 wasimamishwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 300 za Ujenzi wa Hospitali

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanne walioiingizia serikali hasara ya shilingi milioni 300, kwa kujenga majengo ya hospitali ya wilaya ya Nsimbo chini ya kiwango na fedha zingine kutokujulikana matumizi yake. Mrindoko amefikia hatua hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mwingine PSSSF ajikopesha Tsh. Milioni 200 kinyemela

    Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
  16. JamiiForums Tanzania Matibabu ya Kiharusi (Stroke) nchini hugharimu Tsh. Milioni 5-15

    Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea. Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
  17. JamiiForums Tanzania Kusah: Diamond sio msanii / Ruby ana mabwana wengi / ep yangu imetumia milioni 10

    Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia baadhi ya wachaga na wakinga wanaacha ajira nzuri wanaingia mazima biashara ambazo zina hatari ya hasara, huu ujasiri wanautoa wapi?

    Ni baadhi yao,,, sio wote Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki. Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Uganda: Bunge lapitisha faini ya Tsh. Milioni 9 kwa matumizi mabaya ya mitandao

    Bunge limepitisha adhabu hiyo au kifungo cha miaka 10 au vyote kwa pamoja kufuatia marekebisho ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta ya mwaka 2011. Marekebisho hayo yayonasubiri kutiwa saini na Rais yanalenga kudhibiti matumizi yasiyofaa ya taarifa au data, kukataza ushiriki wa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…