milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Korogwe: DC Jokate apokea kompyuta zenye thamani ya Shilingi milioni 92

    Mkuu wa Wilaya Korogwe Mhe. JOKATE MWEGELO apokea Vifaa vya TEHAMA katika Shule 6 wilayani Korogwe vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 92 kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kanye West kuipa hasara Adidas, hatarini kupoteza Pauni milioni 450

    Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450. Adidas inatarajiwa kupata hasara hiyo kubwa kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 kutokana na kutouza mzigo wa bidhaa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake milioni 1.6 wamefikiwa kwa elimu na huduma za Afya ya Uzazi kwa Mwaka

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani ambayo inaadhimishwa Machi 8 kila Mwaka, Shirika la Marie Stopes Tanzania limesisitiza umuhimu wa Elimu na huduma za Afya ya Uzazi kuwa ni msingi bora kwa Afya ya mwanamke na kwa maendeleo katika jamii. Dkt. Geoffrey Sigalla (kushoto) na V.S. Chandrashekar...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti UNICEF: Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana Milioni 6.6 wanakabiliwa na Utapiamlo Mkali

    Utafiti mpya uliofanywa na Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) umeonesha dunia inakabiliwa na ongezeko kubwa la Wanawake Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana waliothiriwa na Uhaba wa Chakula na #LisheDuni. Watoto Milioni 51 wenye chini ya miaka 2 wanakabiliwa na Udumavu kutokana na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni ustaarabu ukiwa kwenye Daladala na una simu ya Tsh Milioni 1 na Laki 7 kisha kudai kwa kelele chenji ya Tsh 100 kwa kondakta?

    Sasa kama Wewe Abiria Mwenzangu umeshika Simu ya Gharama (ya Kitajiri) ya Tsh 1,700,000/= na Unaidai Chenji yako ya Tsh 100/= kwa Kondakta tena kwa Kelele nyingi Daladalani Mimi GENTAMYCINE Choka Mbaya mwenye Simu yangu hii ya Phillips Kitochi nifanyeje? Najua kuwa Hela yoyote ni Halali ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kama vile Tanzania ni asali na maziwa ya watu wale wale wachache sana kwenye watu milioni 62!

    People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle. Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less. Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe. Wameshapigwa ki ufasaha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana

    Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara kupitia mashamba ya pamoja (block farms). WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe, ametangaza majina ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
  10. JamiiForums Tanzania Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Wakuu kwema? Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
  11. JamiiForums Tanzania Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

    Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu #BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram na Tiktok ambako Mastaa kama Lil Wayne, Janelle Monae, Diplo na Ciara wameonekana kuvivaa. Kwa sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Tsh. Milioni 757 kujenga Gereza jipya Kilosa

    SERIKALI imetenga Sh milioni 757 kumalizia ujenzi wa gereza jipya linalojengwa wilayani Kilosa ,mkoani Morogoro baada ya gereza la zamani kupitiwa na Reli ya kisasa (SGR). Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni alisema hayo Februari 20,2023 kwenye mkutano wa hadhara...
  13. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

    Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yasema Milioni 5 Rais Samia ni za Kila Goli kwa Mechi zote za CAF

    MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea hadi mwisho wa mashindano ambayo timu hizo zinashiriki. Msigwa amesema katika michezo ya timu hizo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Eshter Malleko achangia madawati 40 Shule ya Wasichana Sekondari ya Ashira

    MHE. ESTHER MALLEKO MADAWATI 40 YA MILIONI 1.6 SHULE YA WASICHANA SEKONDARI YA ASHIRA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Malleko amechangia Madawati 40 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira yenye thamani ya Milioni 1.6, tukio hilo limefanyika mnamo tarehe 14 Februari...
  16. JamiiForums Tanzania Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

    Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu tu, na yeye ametokomea yaani ameyeya.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi atoa shilingi Milioni 10 kusaidia ujenzi wa wodi ya wanawake Ilala Simba

    MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA. MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Lindi: Afisa kilimo kata ala fedha za mahindi ya ruzuku milioni tano

    Afisa Kilimo kutoka kata ya Milola halmashauri ya manispaa ya Lindi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kula fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 za mahindi ya ruzuku kwa wananchi wa kijiji cha Milola B. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amekiri juu ya kutiwa mbaroni kwa afisa kilimo huyo akisema...
  20. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mashimo, amuomba Rais Samia awalipie deni la Milioni 20, Simba na Yanga ili washinde CAF

    Mchungaji Komando Mashimo amemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Mashimo amesema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya simba na yanga lakini hawakumtolea mungu walichoahidi ambacho ni kiasi cha Tsh milioni 20. Amesema sadaka hiyo itatumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…