milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia 94.83 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579, ambapo wanaume ni takribani 15,236,772 sawa na asilimia...
  3. JamiiForums Tanzania Mwakibete Aongoza Harambee Ndogo Busokelo Girls Sekondari, Atoa Milioni 15

    MWAKIBETE AONGOZA HARAMBEE NDOGO BUSOKELO GIRLS SEC, ATOA MILIONI 15 Mbunge wa Jimbo la Busokelo Atupele Fredy Mwakibete ameongoza harambee ndogo ya wazazi na walimu katika mahafali ya Tano ya shule ya Sekondari ya Wasichana Busokelo. Akiwa kama Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Kidato cha Nne...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti WFP: Watu Milioni 27 hawana Chakula Kusini mwa Afrika, Watoto Milioni 21 wamepata Utapiamlo

    Nchi za Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Angola na Msumbiji zimeripotiwa kukumbwa na hali mbaya ya Upatikanaji wa Chakula, hali inayosababisha takriban Watu Milioni 27 kutokuwa na uhakika wa Chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani...
  5. JamiiForums Tanzania Wizi wa Dola Milioni 4.4 Ulioitikisa Taifa La Zimbabwe Wiki iliyopita

    Zimbabwe Alhamisi iliyopita, wezi waliiba dola milioni 4.4 kutoka tawi la benki ya Ecobank huko Bulawayo katika tukio ambalo linadaiwa kuwa wizi mkubwa zaidi wa benki katika historia ya Zimbabwe. Uhalifu huu wa ujasiri umekamata fikra za taifa, na vyombo vya habari vya ndani vimejaa maelezo ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Takwimu rasmi kuanzia mwaka 1965 waumini milioni 18,555,581 wamejitoa kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato, je Nini chanzo?

    Wadau hamjamboni nyote? Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024 Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581 Niwatakie sabato njema Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
  7. JamiiForums Tanzania Google Play Console zinanunuliwa kuanzia milioni 3 nakuendelea

    Kwa wale wanaomiliki google play console. Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore. Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea uisajili basi unaweza ukaiuza kuanzia milioni 3 na kuendelea. Ila hakikisha tu ila app ambayo ipo...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Iran: Takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa

    Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utafiti kuhusu biashara ya magendo ya mafuta nchini Iran na uhusika wa Viongozi waandamizi kisiasa na kijeshi kufanikisha biashara...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni idadi gani ya watu waliowezesha mapato ya shilingi trillioni 3.1 kwa mwezi Septemba?

    Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya Tanganyika. Awali ya yote naipongeza TRA kwa kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Septemba hadi kufikia Trillioni 3.1. Pia nilishtushwa na taarifa za idadi ya watanzania wanaolipa kodi kwamba ni milioni mbili tu. Hata hivyo ni jambo jema kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh Milioni 500 kupata Kituo cha Afya Daraja la Kwanza Kijiji cha Ikondo Mkoani Njombe

    Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo. Akizungumza Oktoba 04 2024 na Wananchi wa Kata ya Ikondo baada ya kuzindua kituo hicho Prof...
  12. JamiiForums Tanzania Aibu ya Taifa:Watanzania milioni 60 hakuna anayeweza kuchonga sanamu

    Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri. Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae mtaka au kiumbe chochote. Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa...
  13. JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tech Money: Siku ya leo ninalaza faida ya laki 5, wiki 2 zijazo nategemea kufunga biashara kwa faida milioni 3, kuna wabongo wanapenda sana games.

    Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech. Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia...
  16. JamiiForums Tanzania Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo: ### Sekta ya Uchakataji Chakula Utengenezaji wa vyakula...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi Azindua Shule Iliyojengwa kwa Tsh. Milioni 398

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi amezindua Shule ya Usimba Sekondari iliyopo katika Wilaya ya Kaliua ambapo aliambatana na Diwani wa Kata ya Usimba Ndugu Masanja E. Msonde. Wakazi wa Kata ya Usimba walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Sekondari hii ambayo itawapa manufaa watoto...
  18. JamiiForums Tanzania Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  19. JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu gani kupata milioni 100

    Ndugu kijana ulitumia mbinu gani kupata TSH milioni 100? Tunaomba mbinu vijana wenzio wajifunze.
  20. JamiiForums Tanzania Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa Ukumbi na Vyumba vya kulala Wageni Parokia ya Kasumo; zaidi ya milioni 45 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki la Kigoma ambapo zaidi ya shilingi Milioni 45 zimekusanywa. Harambee hiyo imefanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…