Kwema wakuu!
Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani?
Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata?
Unaweza pia kushare uliitumiaje?
Cc: Mshangazi dot com | Demi | Red black | Half american | Mallerina | Intelligent businessman