mbozimbozi kumwitu
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 156
- 189
Ni mwaka nne mpaka Sasa hatuko naye aliyekuwa raisi wetu mpendwa namba moja hapa Tanzania,watu wa maisha ya chini walimupenda sana.,video hapo chini ni maneno aliyozungumza wakati wa corona.corona ilitikisa maraisi wa nchi kubwa duniani lkn mwamba alisimama na Mungu na kuwatoa hofu Watanzania.