mikwara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scared

    Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
  2. Ghayo El Yehudi

    Uzi Maalumu wa kuwatag Keyboard warriors watupe mrejesho na kujikumbusha mikwara Yao humu

    Mzuka wana Jamvi ? Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
  3. Stuxnet

    Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

    Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
  4. Scared

    Watanzania tunaishia kupiga mikwara mtandaoni tu hahahaha

    Kila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema...
  5. Keyboard_Warrior

    Khamenei: Trump anajaribu kutupiga mkwara, Iran haijawahi kuogopa mikwara na haijawahi kukubali kishindwa

    Trump alijaribu kumchimba mkwara Ayatollah. Leo kapewa majibu yake na mzee. Maneno ya Ayatollah: The US President threatens us. With his absurd rhetoric, he demands that the Iranian people surrender to him.They should make threats against those who are afraid of being threatened. The Iranian...
  6. Mganguzi

    Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Al Ahly wana mikwara kama kawaida yao

    Pamoja na hii mikwara yao utashangaa anakufa 3-0 siku ya Ijumaa pale Lupaso. Nimependa mikwara yao japo mtu mzima hatishiwi nyau.
  8. MK254

    Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

    Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
  9. Area 56

    Alex Luambano: Sijawahi kuwaona Real Madrid wamebeba mapipa, Al Ahly wapunguze mikwara

    Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa. Sijawahi kuwaona Real Madrid wakiwa wamebeba mapipa, sasa hii Al Ahly ambayo ni miongoni mwa timu kubwa...
  10. sky soldier

    Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0, utasikia naweza kupiga sql injection nipate password zote, System naweza kuitungua ddos ile, nikikaa man in...
  11. Mama Edina

    M-Pawa na mikwara ya kuwashtaki wadeni wake

    Nina jirani angu anahaha, kaja mbio mbio kuomba nimuazime pesa aweke kwenye M-Pesa alipe deni la M-Pawa. Jamani Vodacom mtatuliia watu na mikwara yenu. Jana jioni ilinilazimu nimtulize asubiri mwisho wa mwezi alipe, niliona haina maana kutoa pesa alipe ili hali anauwezo wa kulipa pesa baadae...
  12. MK254

    Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

    Leo Urusi wanasema wako tayari kuzungumza na kukubaliana kuacha vita, hawa hawa supapawa waliompa Zelensky masaa 24 kuachia ngazi. Zelensky siku zote amekua akijaribu kuwabembeleza waache vita waingie kwenye mazungumzo, leo wanaita vyombo vya habari na kubadilisha kauli.....poleni sana kwa...
  13. N

    Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda. Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
  14. NetMaster

    Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
  15. GENTAMYCINE

    Kumbe 'sometimes' Mikwara husaidia Kukimbiza 'Vibaka' Watoboa Nyavu Usiku Uswahilini Mwetu

    Nimejaribu hii Mikwara Miwili ndani ya Siku Mbili tofauti ambapo Vibaka walitaka Kunichania Nyavu Ghettoni Kwangu waniibie hii Simu yangu ya Kimasikini ya Tecno F1 na imesaidia Kuwatoa Baru ( Kuwakimbiza ) ila Hofu yangu Siku wakija Kushtukia kuwa sina lolote nahisi Watanipanya Rodi vibaya mno...
  16. enzo1988

    Mzee wa mikwara alimaanisha nini hapa????

    'Eti' ni kweli???????? In Friday's comments, Mr Putin threatened a "more serious" response if Ukrainian attacks continue. "I remind you that the Russian army isn't fighting in its entirety... Only the professional army is fighting." Source:BBC
  17. John Haramba

    Bondia Mandonga ni Kanyaboya wa kisasa, historia zao zinafurahisha, wazee wa mikwara ya hatari

    MANDONGA Kwa sasa Nchini Tanzania ukitaja jina la MANDONGA watu wengi wataanza kucheka, hiyo ni kutokana na sifa za bondia huyo ambaye amejizolea umaarufu hivi karibuni hasa mwaka huu 2022. MANDONGA amenikumbusha stori ya mtu anaitwa Felix KANYABOYA ambaye ndiyo huyo aliyesababisha neno...
  18. M

    CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

    Lack of wisdom "Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu...
  19. MK254

    Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

    Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni uchokozi, masheikh wa JF pro Putin brigade hii imekaa vipi. =========== With a Russian offensive is...
Back
Top Bottom