mikopo

  1. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

    Wakuu! Wapi napata mikopo mikubwa bila riba? nipeni hints
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NMB kuhusu miamala na mikopo

    Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika Leo naomba NMB wachuje ushauri huu 1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
  4. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya mikopo mitandaoni

    Tunaamini ukila ukashiba na akili inalala,, Kama elimu yako ndogo, masikini na matapeli ndo hawatowaelewa hawa watu ukitaka jua sifa ya mtu hohehahe ni kuwachukia hawa jamaa. Wakati najitafuta niliwahi pita na kupewa kibarua na kampuni zao wameajiriwa vijana wengi wanajipatia chochote cha...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria ya Mikopo ya Mtandaoni bado inavunjwa kwa kutoa siri za mteja

    Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa. Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4,183 wapangiwa mikopo ya TSh. 13.8 bilioni kwa rufaa

    TAARIFA YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKATA RUFAA WANAFUNZI 4,676 WAPANGIWA MIKOPO YENYE THAMANI YA TZS 15.5 BILIONI Mfuko wa Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) umetangaza kukamilika kwa upangaji wa mikopo ya wanafunzi waliokata rufaa kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Jumla ya wanafunzi 4,676...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wafanyakazi wa makampuni ya kutoa mikopo (Micro Finance) wana hali mbaya kiuchumi au ni uzushi tu?

    Kwa jinsi navyochukulia huwa naona makampuni haya yana pesa nyingi kwasababu huwa wanafaidika kupitia marejesho kausha damu na mtu asipolipa wanachukua assets zenye thamani kubwa zilizowekewa dhamana. Leo nimesikia kwamba wafanyakazi wao wengi wana hali za kawaida/ chini kiuchumi Kuna ukweli?
  8. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Mikopo ya Mtandaoni inaendelea licha ya BOT kukataza?

    BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake. Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu? PIA SOMA - BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili...
  9. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa Mtaa wa Malindi Estate, Mbweni, Celina Mkonye (CPA)aahidi kusimamia mikopo kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu

    Bwashee, mtaa wako una Mwenyekiti mwenye Kiti na CPA? :D Basi kutana na Celina Mkonye wa kule Mbweni. Mara baada ya kula kiapo cha utii na uadilifu, Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Mtaa wa Malindi Estate, CPA Celina Mkonye amewaahidi wananchi katika mtaa huo kusimamia mikopo kwa wanawake, vijana...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

    Habarini ndugu, Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom? Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo? (Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
  11. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa watumiaji wa Mikopo ya Tigo Tanzania - Bustisha Plus, Riba imepandishwa kimya kimya 30% BOT is watching!

    Napenda kudecrale interest, Binafsi nilikuwa mmoja wa watumiaji wa hii mikopo, Kwa mkopo wa 83,000 ndani ya miezi mitatu iliyopita, marejesho yalikuwa ni 93,000 Nimekopa kiasi hiki mara tatu na kuilipa ndani ya muda wa mwezi mmoja on time pasipo kuvuka muda huo Cha ajabu ni siku ya jana nikiwa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kucheleweshwa ulipwaji wa boom ( Meals and accomodations ) ya elimu ya juu 2024/2025

    Vyuo vyote Tanzania vya elimu ya juu vimeshafunguliwa. Kadhia kubwa iliyopo kwa Sasa ni bodi ya mikopo kushindwa kuwapatia wanafunzi boom yaan meals and accomodations kitendo ambacho kinasababisha wanafunzi kushindwa kumaliza kulipa ada, na hasahasa kukosa mahitaji ya msingi ya maisha kitendo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuanza makato upya baada ya Miaka minne kumaliza deni!

    Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?. Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Songwe: DC Farida Mgomi asema “Tumieni mikopo ya 10% kwa matumizi lengwa ili mpate marejesho”

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, Farida Mgomi ametoa rai kwa vikundi vya maendeleo vilivyonufaika na mikopo ya Asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kuitumia mikopo hiyo kwa matumizi lengwa sambamba na kukumbuka kuirudisha ili kutoa nafasi kwa vikundi vingine kupata nafasi ya kukopa...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  17. Shobi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi itazamwe kwa ukaribu

    Baada ya HESLB kufunga maombi na kutoa twakimu ni wazi bodi hii inakosa muelekeo katika vipaumbele vya kozi za kutoa mikopo. Katika soko la ajira na kujiajiri ufundi wowote ungefaa kuwa kipaumbele katika utoaji wa mikopo. Pili kinachotolewa mkopo ni kozi au Hali ya mwanafunzi. Ukiangalia kwa...
  18. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

    Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano ni hizi +255 780 525 780 tuwe makini na tuwaripoti iwezekanavyo___ MO DEWJI FOUNDATION ipo ndio...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna tajiri aliyefanikiwa kufika malengo makubwa bila mikopo

    Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua. Mwisho wa siku hizi kauli zinaponza vijana wanaamua kuingia kwenye short cut au uganguzi baadaye yanawatokea puani...
Back
Top Bottom