mikopo

  1. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Kuruhusu Mikopo Kwenye Biashara Changa

    Biashara inapokua bado changa inahitaji uangalizi mkubwa sana kuliko kipindi chochote kingine. Hiki ndio kipindi ambacho mmiliki wa biashara anajifunza mambo mengi kwa vitendo. Unaanza kutengeneza mtandao wako wa wateja, unaanza kuelewa ni bidhaa zipi zinatoka kwa kasi zaidi, na pia unapata...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Simu za Mikopo Scheme Mpya za Utapeli

    Katika miaka ya karibuni, mfumo wa kununua simu kwa mkopo maarufu kama “Lipa Mdogo Mdogo” umeenea sana Afrika Mashariki. Kampuni kama Watu Credit zimejijengea jina kwa kuahidi wananchi kupata simu haraka bila kuwa na fedha zote mkononi. Ndani ya saa chache unaweza kuondoka na simu mpya uipendayo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo Kwa wafanyabiashara

    Habari Nikiwa kama afisa mikopo ambaye nimefanya kazi ya mikopo katika taasisi mbalimbali za kifedha hapa nchini ninawakaribisha wafanyabiashara kuweza kuomba mikopo Kiwango Cha kukopa huanzia milioni moja hadi billion Moja Muda wa mkopo ni miezi mitatu sita 12 na 24 Riba ni asilimia 3.5...
  4. Mafia Island Boy

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mikopo ya Asimilia 10 za Halmashauri zinatolewa kwa ubaguzi wa Kisiasa katika baadhi ya maeneo ya Dar

    Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya itikadi za vyama huku wafuasi na makada wa CCM, wakiwa kipaumbele kwenye mikopo hiyo. Mwandishi wa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Mikopo Mtandaoni zinakiuka masharti ikiwemo kuweka Riba 52% BoT, Wizara ya Fedha mpo kimya tu!

    Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
  6. idiomer

    JamiiForums Tanzania Baba Levo masharti ya mikopo naongezea na riba

    Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI. PIA RIBA YA 17% NI KUBWA NA V.A.T JUU. Hii si sawa.
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kwenye simu kama Bustisha wanabambikia watu madeni?

    Hawa jamaa siwaelewi elewi. Naona wanamipa deni ambalo hata sijakopa. Naona kama wanabambikia watu madeni. Imewahi kukuta hii?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie app za mikopo zinanzowezesha kukopa

    Niaje? Mtaani Hali kugumu deile kila kukicha unasema afdhali ya Jana wapambanaji tusichoke kupambana life ni gumu balaa, wana ndo tunasota nao tukipeana mahope siku Moja tukatoka tu🙏😔naamini Hilo deile wadau wangu Nimekuja na mishe yangu hii naomba mnielekezs app ya kupata mkopo mtandao
  9. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe azungumza na NMB kuhusu uboreshaji mchakato wa utoaji wa mikopo ya Asilimia 10

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na uwakilishi wa Benki ya NMB na kujadili namna wanavyoweza kufanya maboresho katika mchakato wa kutoa fedha za mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi kupitia taasisi hiyo ya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Vijana hawataki Konakona wanataka hela, punguzeni masharti ya kukopa

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, ameitaka Serikali kupunguza vikwazo vinavyowakabili vijana katika mchakato wa kupata mikopo, akisema masharti yaliyopo kwa sasa ni magumu na yanawanyima fursa vijana wengi kunufaika na mikopo hiyo. Akichangia bungeni jijini Dodoma leo, Februari 3, 2026, mbunge...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma kulipia ushuru bandarini na kuagiza magari toka nje ya nchi

    UZI MAALUMU WA MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA, WATUMISHI WA UMMA, KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI NA KULIPIA USHURU BANDARINI. Habari Katika utafutaji wa maisha wa kila siku pesa limekuwa jambo kuu na la msingi ambalo mtu analihitaji katika kutimiza shida zake na mipango yake. Kwa kulitambua hilo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Bukombe tunasumbuliwa na simu za Taasisi za Mikopo wakati hatujawapa namba wala kuomba mikopo

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye taasisi yao na wakati huo sijawahi kwenda kwenye ofisi zao hata mara moja. Tunajua pengine biashara...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kulipia ushuru wa magari na mizigo bandarini

    Habari Asipo kupoteza muda, Leo nimekuja na habari njema Kwa wote wenye uhitaji wa pesa ya kulipia ushuru bandarini Kwa mizigo auagar waliyoagiza Toka NJE ya nchi. Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja ya kitanzanià Riba ya mkopo ni 3.5% kila mwezi Mdhamana wake ni Kiwanja àu...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bodaboda: Mikopo ya Halmashauri inatolewa kwa kufahamiana, kama hamfahamiki mtasota sana

    Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi. Mkutano huo umefanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania CCM ina vijana wanashindwa tamka petition wanasema petrol station na ndio wanufaika wa mikopo 10%

    Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station? Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;😂🤣😂🤣😂🤣
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wenyeji na viongozi wa Morogoro what goes on here Kila mtaa na uchochoro kuna frame za kutoa mikopo kidunchu?

    Hajambo wote! 1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia. 2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma Mjini, Kahama Mjini, na Sasa nipo zangu hapa Morogoro. 3. Aiseeh! What goes on here? 4. Dec 31...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
Back
Top Bottom