Katika jamii ya Kitanzania, baadhi ya mifugo kama vile mbuzi na ng’ombe hufariki wanapokula maganda ya mihogo mibichi. Hali hii huwastaajabisha wafugaji wengi, kwa kuwa mihogo hiyo huwa salama na hata tamu kwa matumizi ya binadamu, lakini inapoliwa na baadhi ya mifugo husababisha madhara...
Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama.
Natafuta namna ya kumwambia maana kutochangia haimaanishi ndio wanipe mihogo kila siku kama nguruwe.
Habari wakuu,
Naomba muongozo kwa wenye uzoefu,
Je,inaruhusiwa kusafirisha vijiti vya mihogo kiasi,
Kutoka Tanzania kupeleka Zambia ,kama mbegu
Asanteni.
Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo.
"Niuzie ya mia tano!"
"Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka motoni."
Naamua kuketi juu ya jiwe kuisubiria.
Moshi mseto wa vifuu na kuni za kuokoteza, unasambaa...
Wakuu habari,
Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono, Bagamoyo ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei. Na eka 5 ziko tayari kuvunwa. Mihogo yake ni mizuri sana.
Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
Habari za Mihangaiko..
Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo
Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna
Sasa kilichonifanya niandike mimi...
Imagine naenda Coco Beach nawaambia wanifungie Mihogo na Mishkaki,Mnanibabatiza na Mihogo Michelema na nyama mnaweka nyingine pingili moja?
Kweli Dogoli wa kufanywa Fala kwenye Jiji langu niliozaliwa tena Osterbay???😭😭😭😭😭
Bro ulioniuzia njoo DM kabla ya Kumtuma Jini langu Subiani Bin Sina Sudi...
"Vijana wa kizazi cha leo wanaamini afya iko kwenye mafuta; mihogo ya kuchemsha ni ya washamba, lakini ya kukaanga ni fasheni. Dagaa ni za maskini, lakini kuku wa kisasa anayewanenepeesha hadi wanaume kuwa na matiti kama wake zao ni starehe kwao. Halafu unategemea kupata taifa lenye vijana wenye...
Wakuu, habari za jumapili.
Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.
Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.
Nilikula samaki na mihogo 2...
Salaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.
Sasa kama wanajamvi naomba...
Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini Dar es Salaaam aitwaye Asley Mihogo.a
Jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda yameisha
Moto ambao mpaka sasa chanzo chake...
Last week nilipita pale nikapata zangu Samaki na Mihogo swaaaafi kabisa. Hio ni baada ya kuona matangazo mbali mbali instagram kuhusu Aslay Mihogo
Vijana kuweni wabunifu, huyu anakuchanganyia Samaki na Mihogo hadi unajiramba ramba.
Basi aje mrembo mmoja PM kesho niende nae tena
Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.