mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake na ripoti fake

    Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania 1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza! 2. Ripoti za...
  2. redpill evengalist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mifumo ya dunia sio rafiki kwa mwanaume

    YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka. Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha Mfano mzuri mwamba mmoja toka guinea baltazar ,unaona dunia inavomuongelea mwamba kama ni haramia ilihali wanawake...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi wa anga ya S-300 ya Iran ilivyo haribiwa na Israel na kuiacha Iran ikiwa uchi kiulinzi

    Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa. Maafisa wa Marekani na Israel wamesema katika duru mbili za mashambulizi mwaka huu, Israel imeharibu betri zote nne za mifumo ya...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waliotuhumiwa kuingilia Mifumo ya Mawasiliano wasomewa Mashtaka 195

    Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la uhalifu pamoja na uhujumu uchumi, matumizi ya vifaa vya kielektroniki yaani simu box kuingilia mfumo wa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mageni: Ajira za 'Connection' zinasababisha mifumo ya Wizi Serikalini, ataka Wakurugenzi, Katibu Tawala wapimwe kwa sifa sio kujaza nafasi

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa zinazostahiki, hivyo kusababisha hasara kwa serikali. "Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani...
  6. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Israel inavyofanya kazi

    Israel imetumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kukabiliana na mashambulizi ya makombora na droni katika miezi ya hivi karibuni. Imeshambuliwa na Iran, Hezbollah kutoka Lebanon, Hamas kutoka Gaza na waasi wa Houthi nchini Yemen. Marekani imepeleka mfumo wa kukabiliana na makombora ili kuimarisha...
  7. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Ni Mfumo upi masbariki ya kati imetimiza malengo

    Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la 1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
  9. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

    Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo! Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia...
  10. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mifumo ya kurusha wanafunzi wasimalize miaka 7 ya darasa la saba, tujue kuna mifumo ya kuchakachua mahitimu wa Chuo kikuu!

    Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita. Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
  11. HYDROVENTURE

    JamiiForums Tanzania Kwa shughuli za kiufundi karibu Hydroventure Technical Services tunapatikana mkoani Mwanza

  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

    Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo. Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
  13. Itug

    JamiiForums Tanzania Past papers, Mifumo ya matokeo

    JIUNGE NA CHANNEL HII UPATE PAST PAPERS NA MARKING SCHEMES ZA MIKOA YOTE TZ PAMOJA NA MIFUMO YAKUCHAKATA MATOKEO BURE. Channel iko hapa MOCK PAST PAPERS ALL TANZANIA REGIONS
  14. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Timu kama Brighton inafundisha kuiishi na kuitekeleza mifumo, sera na taratibu za timu

    Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Elimu inavyo wafanya watoto kupoteza uwezo wa kuuliza na kuhoji

    Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili... Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi na mazingira. Na wanauliza maswali muhimu, wanauliza " ndoto ni nini, kwanini tunalala usingizi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Trump karudi X, avunja rekodi ya kupata wasikilizaji wengi kwenye space, Kamala alaani ni uchcochezi, Wadukuzi walijaribu kuharibu interview.

    Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya Democrats, Hivyp watu wengi wenye sera za Republicans walipigwa BAN akiwemo Trump. Baada ya Elon...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  18. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Sio lazima uende CHADEMA ili kuwa mpinzani, jipenyeze kwenye mifumo yao kama Magufuli halafu badili uliyokuwa unaona si sawa

    Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali. Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine hivyo ukipinga ukiwa Kenya basi hauko peke yako. Work smart, jiunge na Chama tawala, chezesha...
  19. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  20. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC04 Deni la Taifa, Tanzania Linaweza Kupungua Endapo Mifumo ya Maendeleo Itafanyiwa Mageuzi

    Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
Back
Top Bottom