Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa...
Duru zinatabanaisha huenda Rais Samia akafanya mabadiriko kwenye baraza la mawaziri hivi karibuni huku ikitarajiwa Dkt. Kalemani kurejeshwa kwenye baraza tarajiwa na atapewa ahudumu wizara ya mifugo wakati huohuo aliyepo sasa ikitarajiwa atafutwa kazi.
Mabadiriko hayo pia yatagusa baadhi ya...
Habari wataalamu wa kilimo na mifugo.
Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
UTANGULIZI:
Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka milioni 24.5 hadi milioni 25.6; kondoo kutoka milioni 8.5 hadi milioni 8.8. Kuku wameongezeka kutoka...
Habari kwa wote.
Nimeliona tangazo la wizara toka kwa Mh. Mashimba Ndaki , ni fursa nzuri kwa vijana japo wigo umebanwa kidogo maana wamepewa wahitimu wa mafunzo ya mifugo kwa ngazi ya astashahada,stashahada au shahada kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali. Pia ni fursa kwa raiawaTanzania na...
Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji
Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
SIKIA HII
Tanzania ni nchi ya pili kwa mifugo mingi barani Afrika nyuma ya Ethiopia.Uwepo wa mifugo mingi ni fursa kubwa ya kuwekeza na kukuza biashara ya ngozi. Tuko wapi? ,Licha ya kuwa na fursa hii Tanzania ni nchi ya kumi na moja kwa uuzaji wa ngozi nje na uwezo wake ukiporomoka kila...
Serikali ya Tanzania imesema, haitaruhusu kuingiza vifaranga vya kuku nchini na haitatoa tena vibali vya kuingiza vifaranga hivyo kuaniza Julai 30, 2022.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo Jumamosi Julai 23, 2022 imesema Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema...
Watu sita ambao ni majambazi sugu wa mifugo wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa kosa la unyanganyi wa kutumia silaha aina ya bunduki na mapanga katika mahakama ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Hukumu hiyo imetolewa na hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime Hakimu Yohana...
Maonesho na mnada wa ng'ombe yananza leo Julai 15, 2022 na yataisha Julai 17, 2022.
Yanafanyikia Ubena Zomozi, kilometa chache kutoka Chalinze kama unaelekea Morogoro kwenye viwanja vya Highland estates ambavyo vipo pembeni ya barabara ya Morogoro, upande wa kulia Kama unaenda Morogoro.
Wote...
Serikali imekuwa ikitangaza kila wakati kuwa shule za kata ni bure na hakuna malipo yoyote.
Hali ni tofauti kabisa
Mkoani Kilimanjaro kwani shule hizo zimekuwa zikilipisha wazazi hela ya ada kiasi cha shilingi elf 70 kwa kila mtoto, pamoja na mchango wa mahindi na maharage kila mwaka.
Baadhi...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza kukamatwa mifugo 1,450 iliyoingizwa kwenye mashamba ya wakulima eneo la West Kilimanjaro, Wilaya ya Siha ambayo imeharibu zaidi ya ekari 1,800 za ngano na maharage.
Kagaigai amechukua hatua hiyo leo Jumapili Julai 10, 2022 baada ya wafugaji...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
Naliangalia suala la Ngorongoro, Loliondo, Handeni na sasa huko Songea, Katavi na hata wale waliovurumishwa bonde la Ihefu kwa jicho tofauti.
Imefika muda wenzetu hawa Waasaai, na siye wasukuma na jamii za kifugaji, inabidi kubadilika na wakati.
Watu wanaisi karne ya 17 kwa kutembeza mifugo...
Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo.
kutoka kwa Vet Surgeon
Habari Mh. Mashimba Ndaki , pole na majukumu na hongera kwa kuwezesha sekta ya mifugo kuendelea kusonga mbele.
Kulingana na Takwimu za 2020...
Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya...
Shirika la Habari la Deutsche Welle (DW) Limetoa taarifa ya ukame na tishio la njaa linaloikumba nchi ya Kenya. Katika taarifa hiyo, imeonyesha idadi kubwa ya Twiga waliokufa kwa sababu ya ukame uliosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Taarifa hiyo imesema pia mifugo mingi haina chakula na...
Habarini wadau na wapambanaji wenzangu.
Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto.
Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka.
Niyahasi yakue fasta yaje kunipa backup hayo majike yakiza pamoja na pesa ya ukuzaji wa mabanda.
Je, niwape chakula gani ili...
Habari wadau,
Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo.
Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.