mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  2. G

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo umeongezeka kwa kiasi kikubwa Tanzania chini ya serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya...
  3. A

    KERO Machinjio ya Manispaa ya Moshi hayana hadhi kiafya kwa Mifugo na Wakazi maeneo yanayoizunguka

    Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
  4. KERO Mifugo inagoma kunywa maji yanayotoka Bwawa la Swaswa (Dodoma) lakini yanatumika kumwagilia mbogamboga

    Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo. Ukuaji huu wa kasi umesababisha ongezeko la mahitaji ya ardhi kwa ajili ya makazi na biashara, huku baadhi ya...
  5. Mwana FA amwakilisha Waziri Abdallah Ulega Kongamano la Utamaduni wa Kiislam mkoani Lindi

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya...
  6. I

    KWELI ARV's zinatumiwa na baadhi ya wafugaji kunenepesha mifugo

    Nahitaji kufahamu taarifa inayosambaa kwamba dawa za ARV zinatumika kunenepesha mifugo.
  7. TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  8. J

    Je, Vyombo vya Dola vimezidiwa na "Genge la Watekaji"?

    Maaskofu wameuliza swali; Je, watekaji wamevizidi nguvu vyombo vya Dola? Kwanza tuangalie watekaji wanamiliki nini? 1. Magari ya kifahari, LAND CRUISER, NISSAN n.k., na plate no. za TANZANIA ambazo wanaweza kuvuka hata mpakani mwa nchi na nchi bila shida. 2. Silaha nzito za kivita wanazoweza...
  9. Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni. Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
  10. Natafuta msimamizi wa shamba la mifugo na kilimo

    Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba. Shamba lipo Namtumbo Ruvuma. Note: 1. Shamba ndio linaanzishwa 2. Lita include mifugo kama kuku wa kienyeji, Bata na mbuzi. 3. Mradi wa kilimo...
  11. Wizara ya Mifugo ichunguze. Vijana wa viatamizi waliomaliza Mafunzo wanatupwa maporini utafikiri wao ndo wananenepeshwa na siyo ngombe

    Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo. Kuna haya mambo yanayotia kinyaa; 1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
  12. Maonesho makubwa ya mifugo na mnada kufanyika kuanzia 14-16 juni 2024

    Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024. Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches lililopo Ubena zomozi, km kadhaa baada ya kutoka Chalinze. Shamba hilo lipo kando ya barabara ya...
  13. M

    Naomba elimu kuhusu Soko la Madaktari wa Mifugo (BVM) nataka kutuma maombi

    Wakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
  14. CRDB Insurance na ACRE Africa Washirikiana Kuboresha Bima ya Mifugo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CRDB Insurance, Wilson Mnzava akibadilishana hati ya makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ACRE Africa, Ewan Wheeler, katika hafla ya kusaini makubaliano ya kutoa huduma ya bima ya kilimo na mifugo, ambapo kwa kuanzia watanaanza na bima ya mifugo kwa...
  15. Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  16. Profesa Ndakidemi aitaka Wizara ya Mifugo kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM),Profesa Patrick Ndakidemi ,ameitaka wizara ya Mifugo na uvuvi kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi ili kuweza kusimamia sekta hiyo kwa ufanisi zaidi. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi kwenye bajeti ya wizara ya Mifugo na...
  17. Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutumia Tsh. 460,333,602,000 kwa mwaka 2024/25

    Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25 Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000 Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21 ➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84 ➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni 52.36 Miradi ya Maendeleo: Tsh. Bilioni 363.11 ➼ Fedha za Ndani - Tsh. Bilioni 242.07 ➼ Misaada -...
  18. Lissu haamini katika taasisi, hata CHADEMA haiamini, anataka kwenda peke yake aongoze taifa kama mifugo yake

    Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake. Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya maoni ya wahasibu, amelazimisha apewe hela za mishahara za watumishi wa chama ili yeye na genge lake...
  19. S

    SoC04 Tanzania itumie takwimu za mifugo kudhibiti mafuriko

    Nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania zimeingia kwenye historia ya kukumbana na athari mbaya za mafuriko ambazo hazijawahi kushuhudiwa kwa miongo mingi iliyopita. 2023 hadi 2024 baadhi za nchi za Afrika hususani kusini mwa jangwa la sahara zimepoteza mamia ya watu, makazi, mifugo na miundombinu...
  20. R

    Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…