mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KWELI Mifugo hufariki wakila maganda ya mihogo mibichi

    Katika jamii ya Kitanzania, baadhi ya mifugo kama vile mbuzi na ng’ombe hufariki wanapokula maganda ya mihogo mibichi. Hali hii huwastaajabisha wafugaji wengi, kwa kuwa mihogo hiyo huwa salama na hata tamu kwa matumizi ya binadamu, lakini inapoliwa na baadhi ya mifugo husababisha madhara...
  2. Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  3. A

    DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  4. Kijana wa kusimamia shamba la mifugo na kilimo yupo

    Habarini wanajukwaa.... Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo. Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo...
  5. Ndani ya Incubator za home made (kienyeji) Kuna Siri Ambayo Huamua Mafanikio au Hasara

    Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini. Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kuna mfugaji mmoja, alikuwa...
  6. Fursa ya kazi kwa kijana anayeweza kutunza mifugo

    FURSA FURSA Natatafuta vijana wanaoweza kufanya kazi za kutunza mifugo kama ng'ombe, mbuzi Nk Majukumu Kuandaa malisho ya wanyama Kulisha wanyama Mshahara: 100,000 Kula na kulala buree Vigezo: usiwe na umri wa zaidi ya miaka 22 Piga:0765 049 904
  7. Wapi kwa Dar naweza kupata supplier wa vitu vinavyochanganywa kwenye vyakula vya mifugo

    Wakuu ninauliza kama kuna yeyote anaifahamu kampuni au mtu anayetoa huduma ya kuuza vitu ambavyo vinekwisha tengenezwa ili viweze kuchanganywa kwenye vyakula vya mifugo.Vitu ambavyo ninavihitaji ni kama ifuatavyo Lysine Methionine Layer concentrate Broiler concentrate Limestone Unga wa...
  8. GE2025 Samia aahidi ruzuku za Mbolea, chanjo za mifugo

    Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa Igunga mkoani Tabora leo, Jumatano Septemba 10, 2025, ametoa wito kwa wafugaji wa mkoa huo kupeleka mifugo yao kwenye chanjo na utambuzi ili kuiweka Tanzania katika viwango vinavyokubalika kimataifa katika soko la mifugo...
  9. M

    Tunauza Mashine YAKUCHAKATA CHAKULA CHA MIFUGO YOYE

    KARIBUNI MIFUGO PLUS Mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, samaki, na mifugo mbalimbali km, sungura,ngombe, mbuzi ngurue Mashine Zipo chake Pia zipo kwenye Of Baada ya Lak 4 Njoo Oficini Lipia Kwa Bei ya 380 Ujanja Kuwai wateja wangu PIGA SIM 0612323330
  10. M

    Tunauza chopa mashine karibuni mifugo plus

    Karibuni mifugo plus Tunauza chopa mashine ni mashine yakuchakata chakula cha mifugo mifugo yoye zipo kwenye ofa ofa baada ya lak 4 utalipia Bei laki 380 mashine ziko chache sana maboss zangu Piga sim chapu 0612323330
  11. M

    Wavu imara kutoka Mifugo Plus

    Tunauza Wavu kutoka Mifugo Plus Karibuni Sana Tupigie sim number 0612323330 Tukuletee Mpaka ulipo
  12. Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  13. M

    Daktari wa mifugo

    Habari zaa mudaa huu....Mimi ni DAKTARI WA MIFUGO nipo Dar es salaam Kwa mtu atakayehitaji ushauri wa kidaktari karibunii sana,ofisi ipo Tegeta azania ila tunafika popote ulipo.Tunahudumia wanyama wote mbwa,paka,ng'ombee,mbuzi,kuku,kondoo,sungura Kwa mawasiliano:0684918177
  14. Tupeane connection kwenye biashara za mifugo kama ng'ombe na mbuzi

    Wadau hamjambo nyote Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio. Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET... Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea...
  15. J

    Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
  16. M

    Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

    Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji? mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
  17. Hakuna tena ubabaishaji kwenye utengenezaji wa feed formulas kwa ajili ya mifugo

    Hakuna tena haja ya kutengeneza vyakula vya mifugo usovyojua matokeo yake kwenye ulishaji,mchawi computer,cha msingi unapaswa kujua ingredients zinazotakiwa kwenye utengenezaji wa vyakula vya mifugo,pia ujue viwango vya viini lishen Vya ingridient mojamoja kama...
  18. M

    Huduma bora kwa mifugo yako

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya,Leo napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako ambayo husaidia kuongeza uzalishaji kwenye shamba lako la mifugo. 🔴HUDUMA ZINAZOTOLEWA: ✅ Uhimilishaji kwa nguruwe ✅ Matibabu ya wanyama ✅ Chanjo ✅ Upasuaji ✅ Ramani za mabanda ✅...
  19. M

    Huduma ya chanjo kwa mifugo yako

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya napenda kutoa somo zuri sana kuhusiana na utoaji wa chanjo kwa magonjwa hatari kwa mifugo yako. Kuna aina nyingi za chanjo ambazo tunawapatia mifugo yetu kuepuka hatari ya mlipuko kwenye shamba la mifugo. Kuna aina nyingi za chanjo mfano...
  20. M

    Huduma bora kwa mifugo yako

    👉Habari za muda huu wafugaji, natumaini nyote ni wazima .napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako; ✅ Huduma Bora kwa Mifugo: 1. Utoaji wa Dawa za Minyoo (Deworming): - Kuzuia na kutibu minyoo ya ndani na nje. 2. Chanjo (Vaccination): - Kuzuia magonjwa hatari kama chambavu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…