miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miezi mitatu baada Oktoba 29, waliofiwa bado wasaka wapendwa wao

    Manenos Selanyika alipata mazishi ya mfano tu. Familia yake haikuwahi kuupata mwili wake baada ya machafuko makubwa ya uchaguzi wa Tanzania yaliyotokea miezi mitatu iliyopita. Mwandishi huyo wa habari mwenye umri wa miaka 40 aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama tarehe 30 Oktoba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku nilioyomuona mama anauza dhahabu zake ilikuwa ni kunusuru nyumba isiuzwe, baada ya miezi 6 walirudi, hakukuwa na cha kuwapooza nyumba ikauzwa

    Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni. Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka. Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita. Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Daktari wa India kasema bila sh. Milioni 40 hatoboi miezi mitatu ijayo

    Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam. Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe shingoni huku daktari akimwambia bila Shilingi Milioni 40 za Kitanzania, hatoboi miezi mitatu ijayo...
  4. JamiiForums Tanzania Exclusive documentary!... TUNDU LISSSU shujaa. Karibu tena Uraiani baada ya takribani miezi 10 gerezani kwa kesi ya uongo wa kubumba..!

    https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_ HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida... Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
  5. JamiiForums Tanzania Miezi 4 bila kuingia JF, Poleni tuliopotezana

    Jambo Wakuu! Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao tulizoea kubadilishana maarifa na ujuzi mbalimbali. Ninamshukru Mungu leo nimefanikiwa tena kuingia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  7. JamiiForums Tanzania Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

    Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza! Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!) mi sikuwahi kumuona lakini...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

    Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha. WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki. Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia. Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

    1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi 2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano 3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote...
  11. JamiiForums Tanzania Aiseee mbona hii ndio huwa miezi ya mvua na kibaridi flani hivi ila Hali NI kama jehanamu duuh

    Hii kit ina kimbia 30+ plus week kama ya tasty hivi
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unabii wangu: Samia hatamaliza miezi 18 kama Rais wa Tanzania

    Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
  13. JamiiForums Tanzania Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

    Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija. Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
  14. JamiiForums Tanzania Mahusiano yana miezi sita hajawahi kuionja

    Hiki ni kisa cha kweli jamaa ana pisi yake Kali mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18 mchizi wa miaka 25+ ila hajawahi pewa unyevu ni MIEZI 6 anajiuliza je ni kweli hapo kuna mapenzi au maigizo anafanyiwa kila akiomba ANAAMBIWA kwa sasa sipo tayari
  15. JamiiForums Tanzania Tukiwa tumebakiza miezi miwili ya kumaliza mwaka, hadi sasa tukiwa ukingoni, huu ndio uzi wa ovyo wa mwaka huu kwa upande wangu

    👇🏻👇🏻👇🏻 "Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake" https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
  16. JamiiForums Tanzania Miezi sita bila ya mahusiano anaambiwa awe na subra

    Rafiki yangu yupo kwenye penzi zito juzi ndiyo ananiambia MIEZI 6 mwanamke hawajawahi kusex anamwambia awe na SUBRA hapo Kuna mapenzi kweli au maigizo?
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo miezi 8 ana shida ya vinyama puani na kooni

    Wakuu, dogo wangu anachangamoto ya vinyama puani na kooni hali inayopelekea kupumua kwa Shida sana.. Ipi ni tiba sahihi ya hii Shida..? 🙏
  18. JamiiForums Tanzania Shirika la Masoko Kariakoo latangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa waliounguliwa maduka

    SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka. Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza msamaha huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 Dar es Salaam. CHANZO...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Polepole alikuwa nchini miezi yote hiyo tangu alipojiuzulu, Intelijensia za Polisi na TISS zinanipa mashaka

    Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka. Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!! NB: Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
  20. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwanja wa Mkwakwani ulifungwa zaidi ya miezi sita kwa ajili ya Marekebisho huwezi kubali

    Ukiangalia uwanja wa mkwakwani na ukaambiwa umetoka kwenye matengenezo huwezi kubali kwanini Majukwaa ya mashabiki badala ya kuweka viti vya kukunja viko vilevile na hayana paa Pembeni mwa uwanja badala ya kuweka nyasi ila kumuwekwa kokoto Surface ya uwanja mbovu bado ina-mabondemabonde- nyasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…