miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

    Mume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa nilimsomeshea mdogo wangu kwani mama alikuwa mgonjwa na tuliishi maisha duni sana. Mimi na mume...
  3. JamiiForums Tanzania Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

    Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda ! Mashart kama vile 1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
  4. JamiiForums Tanzania Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Wakuu Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja. Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba. Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu. Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kujifungua mimba ya miezi 8 na mtoto akawa salama?

    Je,kuna uwezekano wa mwanamke kujifungua miezi 8 na mtoto akawa fresh???
  7. JamiiForums Tanzania Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

    MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA. Leo 10:35hrs 17/11/2021 Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

    Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea? Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  10. JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

    Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache. Mimi...
  12. JamiiForums Tanzania Miezi 7 bila Dkt. Magufuli; Noti mpya iliyopakwa Dhahabu, Almasi, Tanzanite ingeileta Tanzania mpya katika uso wa dunia

    MIEZI SABA BILA JPM;NOTI MPYA ILIYOPAKWA DHAHABU,ALMASI, TANZANITE INGEILETA TANZANIA MPYA KATIKA USO WA DUNIA. Leo 10:15hrs 17/10/2021 Nianze na maswali matatu yatakayotuongoza katika kujiuliza kama tunaweza kutengeneza pesa yetu na thamani yake ikapimwa kwa dhahabu,Almasi au Tanzanite...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu au kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 7, === Namba hazijawahi kudanganya na...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi...
  15. JamiiForums Tanzania Aliondoka na kuniacha na mtoto wa miezi miwili

    Wakuu mmebarikiwa Sana na MUNGU WA MBINGUNI. Imepita miaka sasa niliwahi kuishi na mwanamke mmoja muha mwanamke jeuri, matusi, kiburi, uchafu, ujuaji sijampata ona, harakati ndani ya familia, kutaka kunitawala. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha yaani niliondoka home kabisa nikaanza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Press conference ya yanga leo:Kocha Nabi kasema anahitaji miezi 3 muunganiko hawezi ahidi ushindi

    Mtunisia kasema anahitaji miezi 2 hadi 3 ili team ipate muunganiko, vilevile kasema mechi ya kesho ni ngumu hawezi kuahidi ushindi sababu yeye siyo mtabiri Kocha mkuu kuanzia tarehe 27 ni Kazelona sasa sisi wadau wa soka tunaomba apewe atleast miezi 6 ili apate muunganiko maana hawa wachezaji...
  18. JamiiForums Tanzania Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

    Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho "Hakuna kama Samia " Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na...
  19. JamiiForums Tanzania Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
  20. JamiiForums Tanzania Ifahamu Nchi Yenye Miezi 13

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Taifa la Ethiopia limekaribisha mwaka mpya hivi karibuni, licha ya kuwepo kwa baadhi ya madhila ya vita na njaa hasa upande wa mashariki wa taifa hili. Fahamu zaidi kuhusu kalenda ya mwaka wa kipekee wa Ethiopia kama urithi wa nchi hiyo. 1) Mwaka ambao una miezi 13...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…