Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam.
Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe shingoni huku daktari akimwambia bila Shilingi Milioni 40 za Kitanzania, hatoboi miezi mitatu ijayo...