michezo

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Miaka 40 ya hamna kitu kwene michezo?

    Wakuu nimeona hii youtube.Binafsi nimeumia sana. “washiriki wa Tanzania wameendelea kurudisha ukame nyumbani kwa zaidi ya miaka 50 bila midali ya dhahabu.” Ni huzunini kwa kweli. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/sports/tanzania-at-the-olympics-50-years-of-missed-opportunities-4722068...
  2. JamiiForums Tanzania Utabiri vs. Ubashiri: Tofauti na Umuhimu katika Michezo ya Mpira wa Miguu

    Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu. 1. Utabiri: - Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Waandaaji wa Matamasha ya Michezo (Simba day na wananchi day) Ni wakati sasa wa kufanya Kikanda.

    Kutokana na ushabiki wa Mchezo wa Mpira kukua kwa kasi ni muhimu sana wakumbuke pia kufanya mikoani ili kuwapa raha mashabiki. Ningeshauri hata matamasha hayo yakafanyika kikanda na kuwa na mpangilio mzuri na wa Kisomi. Kama inashindikana basi kabla ya Tamasha kubwa yatangulie matamasha madogo...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Makosa haya kujitokeza katika Michezo ya Olympics

    Julai 26, 2024: Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali. Julai 27, 2024: Wanariadha wa Korea Kusini walitambulishwa kama raia wa Korea Kaskazini, na kupelea waandaaji kuomba radhi kwa lugha ya Kikorea kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

    Ndugu zangu wanaJamiiForum Nakusalimuni huko huko mlipo. Nijikite kwenye hoja Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania. Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu. Kila...
  6. JamiiForums Tanzania Wazo fyatu: Kuna michezo ingewafaa wanawake zaidi na mengine ingebaki ya wanaume tu

    Huwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi. Hili suala lisichukuliwe kama ni ubaguzi wa kijinsia kwa sababu hata wengi wa wanawake wenyewe wanavutiwa zaidi na timu za mpira wa kiume kuliko timu zao. Mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Kama mawakili wanaweza kufanyiwa michezo michafu kwenye uchaguzi wao, wananchi wa kawaida tutaweza kuwazuia hawa 'wahuni' kweli?

    Wakuu, Tumeendelea kuweka taarifa kama tunavyozipokea, kama mlivyoona zoezi la kupiga kura limesimama kwa muda mpaka wakati huu naweka uzi huu hapa kutokana na karatasi za kupigia kura kupelea, ambako imebidi zikachapishwe nyingine ili zoezi liendelee. Sasa wakati hili linafanyika ukurasa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ndondi wa Olympic wamzodoa mshindi kwenye pambano la wanawake wakidai ni mwanaume

    Huyo binti pichani Angela Carimi kutoka Italy aliangua kilio mapema leo baada ya kula kichapo kitakatifu kwenye ndondi ya wanawake huko nchini Ufaransa kwenye ile michezo ya olimpiki. Wakati wa round ya pili alionekana kuweza kumudu mpinzani wake Imane Khelif ambaye anadai kuwa ni mwanamke...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ushetani ulioonyeshwa kwenye ufunguzi wa michezo ya Olympic nchini Ufaransa kampuni ya kwanza yajitoa

    C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa. Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga kuhusu "last supper" wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo jijini Paris. Kufuatia tukio hilo kwa aibu...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Charlene Ruto kuwa Waziri wa Vijana au Michezo

    Mheshimiwa Charlene Ruto anafaa kuongoza Wizara ya vijana au Michezo
  12. JamiiForums Tanzania Nadhani kuna kitu hakiko sawa huyu sio Ahmed Ally tunaemjua, aipigia kampeni CCM

    Kwa wale wataalamu wa body language na video analysts. Kwa namna UVCCM inavyotamkwa na muonekana wa uso na matamshi yanayotamkwa vinatia shaka sana kama ni maamuzi ya Ahmed. Pia soma: Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli Tusifike huku...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro Ahimiza Mabadiliko Chuo cha Michezo Malya

    WAZIRI NDUMBARO AHIMIZA MABADILIKO CHUO CHA MICHEZO MALYA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watuishi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wafanye mabadiliko katika utendaji kazi wao ili waendane na kasi ya mabadiliko ya sekta hiyo hapa nchini. Mhe...
  14. JamiiForums Tanzania Michezo ya kupotezana na kufichana ina mizizi mirefu

    Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi. Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto. Watu kukimbia nchi hawajaanza leo, watu kuigopa CCM former TANU haijaanza leo. Baba alijenga nyumba yenye msingi mbovu kabla ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Pacome aomba kuondoka Yanga

    Hizi inaweza kuwa taarifa kubwa zaidi hapa Tanzania kwenye dirisha hili Kubwa la Usajili 2024. Taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai Paccome Zouzoua amepata offer kubwa kutoka kwa Mabingwa wa Africa, Al Ahly. Kumbuka Pacome Zouzoua Peodoh amebakisha Mwaka 1 kwenye Mkataba...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

    Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Mapinduzi na Michezo Nchini

    Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. 🐒
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Soka kwa maendeleo ya Taifa: Nionavyo tanzania kwa miaka 15 ijayo

    Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona Tanzania ya miaka 15 yenye mafanikio makubwa. Michezo ambayo hupendwa sana duniani ni pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli na Ustadi: Jinsi ya kupata faida katika Michezo ya betting kwa uhakika

    Maana ya Betting Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…