michezo

  1. JamiiForums Tanzania Sanaa za Michezo Zinapewa Kipaumbele Katika UMITASHUMTA & UMISSETA

    SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA Ngoma za asili, kwaya na Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Flavor) ni sehemu ya fani ambazo zimekuwa zikishindaniwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Tanzania kwa shule za Msingi na Sekondari (UMITASHUMTA &...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

    Wakuuu Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi? == Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika kipindi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

    Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi. Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Lucy Sabu Aibana Serikali Kuhusu Kukamilika kwa Akademia ya Michezo Malya

    Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Mfumo wa Artist Information Management System (AMIS) ambao umeunganishwa na TAUSI kutoka TAMISEMI umerahisisha usajili wa wasanii ambapo kati ya Julai 2024 hadi Aprili 2025 wasanii binafsi 844, vikundi 158...
  5. JamiiForums Tanzania Apps nzuri na bure kwa Michezo, Movies, News

    Kusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo mbalimbali kwa gharama nafuu. Hizi ni list ya Apps ninazotumia kwenye Android TV na Android phone...
  6. JamiiForums Tanzania CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
  7. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  8. JamiiForums Tanzania Kutakua na budget ya kati ya shilingi billion 20 na 50 kwa ajili ya kuhudumia academy za watoto kwa michezo mbalimbali

    Moja ya mambo yanayorudisha michezo nyuma ni academy za michezo mbalimbali kukabiliwa na ukata wa fedha za kujiendesha Lengo kuhakikisha Tanzania inakuwa dominant kwenye michezo karibia yote
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kununua magori au kudhamini michezo kwa mamilioni, wengi ni kusafisha matendo yao machafu.

    Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine. Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
  10. JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie viatu mbalimbali vya michezo, mipira, jeans, t-shirt, kofia na mabegi mbalimbali

    Habari wanajukwaa, wafanyabiashara, na wote. Naomba niwakaribishe kwaajiri ya kujipatia viatu mbalimbali vya michezo, viatu vya kawaida, jeans, t-shirt kali na jezi OG kabisa. Tupo Karume kwa viatu vya michezo, mipira, guard pia kuna discount kwa anayechukua full yaani viatu, soksi na guard...
  11. JamiiForums Tanzania Karia, Hersi wakiwa bungeni kushuhudia uwasilishaji bajeti ya michezo

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia akiwa na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na...
  12. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

    Pale alipokuwa kawekwa kabla ya hapa ilitokea kwa bahati mbaya tena sana! Na kwakuwa ile nafasi ni sawa na joka la kibisa.. Hatukuweza kuona ombwe! Hatukuweza kuona uhalisia.... Baada ya asili kuamua ile ugomvi mkubwa, tukadhani tumesalimika sana.. Kumbe ilikuwa ni sawa na kuruka kubwa kisha...
  13. JamiiForums Tanzania 92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

    GT. Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga. Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama 1. Afya 2. Kilimo 3. Uchumi 4. Elimu 5. Utalii 6..usafiri 7.ufundi 8.Mapishi. 9..siasa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inawaogopa watu wa LINDI na MTWARA pekee

    Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi. Watu wa kusini ni next level. Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013...
  15. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Camara

    Mwamba anastahili pongezi kubwa sana! 🧤
  16. JamiiForums Tanzania Waziri ya Ardhi yashiriki uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi 2025

    Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Honorable minister notice of violation of sheria namba 12/1967 ya baraza la michezo la taifa (BMT)

    Your honor, this notice takes into account a letter dated 21stFebruary 2022 that our client (unknown) addressed you and before that our client also addressed two letters to National Sports Council (NSC) (The said letter is attached overleaf). Honorable Minister, on behalf of our client, we...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  19. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  20. A

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa hana kingine cha kuisemea Serikali zaidi ya matamko ya michezo?

    Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama. Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc Sioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…