miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheria ya miaka 30 kwa bangi na mirungi ipitiwe upya

    Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa. Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu ya miaka 30 jela hapo unakua unamfunza au kumkomoa? Stage ya ujana inaaminika ni hatua ya mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukopa trilion 51 ndani ya miaka 5 bado mradi wa SGR Unasuasua tatizo nini?

    Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kitengo Cha habari Cha Yanga kimepwaya,kwa miaka mitano kimeshindwa kuteka kizazi kipya Cha mashabiki hatimae wanachama

    Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani. Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
  4. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  5. JamiiForums Tanzania Chuando tan ana miaka 60 lakini ana muonekano wa kijana kabisa

    Ni msingapore jamaa ana miaka 60 lakini muonekano wake ni WA miaka 30, jamaa kushangaza ulimwengu jinsi anavo jitunza
  6. F

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva ina miaka 30? Kulikuwa na kwanza unit ya akina D knob na Niga one

    HAPO ZAMANI _______________ Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob). Wakali hawa walikuwa Marapa wa kundi la Kwanza Unit, na wawili wote kwa sasa ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Comrade!ikitokea hatma imekudondokea na hatmae ukawa mkuu wa kiti kikubwa katika nchi hii!Hili nalo lipatie ufumbuzi kama ninavyoandika sasa! Kumbuka nchi yetu Haina tatizo la ajira Bali sera mbovu za ajira ndio zimetufikisha tulipo,unawezaje kumuajiri mtumishi ajira ya maisha !?wakati Kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Siri ya fichuka Mr. Sugu kutokushiriki miaka 30 ya bongo fleva

    SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Bongo legendary music festival ya 2022 : Ukurasa unaosahauliwa katika mjadala wa bongo fleva honours na miaka 30 ya bongo flava

    BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL YA 2022 : UKURASA UNAOSAHAULIWA KATIKA MJADALA WA BONGO FLEVA HONOURS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA Kadiri mijadala kuhusu Bongo Fleva Honours na maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Flava inavyoendelea, ni muhimu pia kuikumbuka historia ya matukio yaliyotangulia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa Kwa miaka ya sasa ni tamthilia pana sana, M/Mungu labda akusimamie tu kwenye hiyo sector

    Vitaa Labda uwe na pesa na umpate mwaminifu the sometimes uwe mmekubaliana , uwe unaweza kumridhisha mwenzako , mridhishane wote, mvumiliane, sijui kama yote haya yanawezekana Ila ndoa ni tamu sana ukipata partner wako ambaye mmekubaliana hata kama hamna pesa nyingi kiasi hicho ila...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume kwenye kurudisha fadhila wako vizuri

    MEN ARE SIMPLE, unamsaidia leo 50k baada ya miaka kumi unashangaa anakupigia simu akulipe fadhira karibia mara 50 yake, unamwambia NO ila ana insist.
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kuhisi raha kamili ya sex anapofikisha miaka 28

    Njoo ubishe Kwa mwanaume akisha balehe tu utamu unaanza hapo Ila Kwa mwanamke anaanza kuhisi raha halisi ya sex pale anapofikisha miaka 28, ndio maana ukimpata mwanamke mwenye miaka hiyo na ukamkoleza sex sawa sawa ndio anakuganda na anaacha kuangaika na wanaume tofauti tofauti Kinyume...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare North: Barabara imeharibika kwa Miaka 4, Je, Uchaguzi Ukikaribia Ndio Huduma Zinakumbukwa?

    Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa takriban miaka minne. Picha zinaonyesha barabara yenye mashimo, mawe, vumbi na sehemu zilizochimbika...
  15. O

    JamiiForums Kenya Mathare North: Barabara Imeharibika kwa Miaka 4, Je, Uchaguzi Ukikaribia Ndio Huduma Zinakumbukwa?

    Mathare North, Ruaraka – Nairobi: Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa takriban miaka minne. Picha zinaonyesha barabara yenye mashimo, mawe...
  16. JamiiForums Tanzania Makosa ya Umri wa Miaka 20

    Ni kosa gani la kifedha au kimaisha ulilofanya ukiwa kijana ambalo unatamani ungeliepuka?
  17. JamiiForums Tanzania Harakati za kufikisha umri wa miaka 100

    Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto. Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania CCM imefika mwisho, ndani ya miaka minne itaondoka,ikiondoka hairudi Tena

    Kwa Nini CCM imefika mwisho. Haitavuka 2030. Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania. Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu. Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

    Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…