miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tory Lanez atupwa Jela Miaka 10 kwa Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

    Tory Lanez, Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada amehukumiwa kwenda Jela Miaka 10 baada ya kupatikana na hatia katika Makosa Matatu, yakihusiana na Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion mnamo Julai 2020, huko HollywoodHills Japokuwa Tory Lanez alikana Mashtaka yote (kushambulia kwa kutumia...
  2. JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi, Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self. Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji ahukumiwa miaka 70 kwa kubaka watoto

    Mahakama ya Nairobi imemhukumu mchungaji, James Njuguna kifungo cha miaka 70 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo wawili wenye umri wa miaka 11 na 14 katika nyakati tofauti kati ya Desemba 24, 2014 na Januari 7, 2015. Mahakama imebaini kuwa mchungaji huyo alitenda makosa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya IGA itasababisha mabadiliko makubwa ya sheria zetu miaka 3-8 ijayo.

    Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
  5. JamiiForums Tanzania Zanini, mwanamke anayefanya kazi za ndani miaka 20 kwa Bosi mmoja

    Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya kikatili yanayodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa ndani, ikiwamo kuwaua au kuwapiga watoto wa mabosi zao wakati wazazi husika wakiwa hawapo nyumbani, Hali hiyo imesababisha kujenga uadui kati ya wafanyakazi wa ndani na waajiri. Hatua hiyo, imesababisha wenye...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mke ama mume akifungwa jela miaka 30, ndoa ya Kikristo inamsaidiaje mwenza wake?

    Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako ama mume wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Rais Putin aongezewa Kifungo cha Miaka 19 jela

    Mwanaharakati #AlexeyNavalny ambaye amekuwa akipinga waziwazi utawala Rais #VladimirPutin, alikuwa akituhumiwa kuunda na kufadhili genge lenye itikadi kali na kuendesha uasi dhidi ya Serikali. Hukumu imesomwa ndani ya Magereza yenye Ulinzi Mkali, Kilomita 250 nje ya Jiji la #Moscow ambako...
  8. JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 5 jela kwa kumkosoa Mfalme Mohammed VI

    Mahakama imetoa adhabu hiyo dhidi ya Saïd Boukioud aliyekosoa uamuzi wa Serikali ya Mfalme Mohammed VI wa kurejesha na kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia na Serikali ya Israeli. Boukioud alikutwa na hatia ya kuhujumu Utawala wa Kifalme kwa kumpinga Mfalme hadharani tena kwa kutumia Kifaa cha...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyemcharaza Mwanafunzi wa miaka 9 Viboko 107 afikishwa Mahakamani

    Jackson M. Marucha, Mwalimu kutoka Kaunti ya Nyamira Kenya, anatuhumiwa kumpa adhabu hiyo Mwanafunzi wa Darasa la 4 mwenye miaka 9 baada ya kuripoti kuibiwa nguo zake za Shule. Mwalimu alijaribu kuficha kitendo hicho kwa kumfungia Mwanafunzi Bwenini na kumnyima matibabu baada ya kugundua ana...
  10. JamiiForums Tanzania Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mkazi wa Miembesaba mkoani humo, Otienal Ibrahimu (36), baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mfanyakazi wake wa ndani mwenye umri wa miaka (15). Hukumu hiyo imetolewa Julai 31, 2023 na Hakimu Mkazi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  12. JamiiForums Tanzania Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Salaam wote! 1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old...... Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi. Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....😁😁 Sema sasa kuna...
  13. JamiiForums Tanzania "Fezco" Muigizaji wa Tamthilia ya Euphoria afariki dunia akiwa na miaka 25

    Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi. Kupitia tamthilia za Euphoria inayotayarishwa na kampuni ya HBO, alifahamika kama Fezco ‘Fez’ O’Neill ambaye ni Muuza Dawa za...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Ualimu ni Wito

  16. JamiiForums Tanzania Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

    Nimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao. Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k. wafika 30 sasa ndio utaanza kuona...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

    Wakuu tujuzane hapa , naona Kama nishapitiliza, au niendelee tu kuwa single.
  19. JamiiForums Tanzania EFF chatimiza Miaka 10 (live coverage by SABC)-CHADEMA mnajifunza nn?

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini - Economic Freedom Fighters (EFF) Leo wanatimiza miaka 10 toka kuanzishwa kwake. CHADEMA mna ya kujifunza hapa.
  20. JamiiForums Tanzania Allen Swift, mtu anayeshikilia rekodi ya kuendesha gari moja tu kwa miaka 82

    Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010. Huyu mwamba aliendesha gari moja tu, gari hilohilo peke yake kwa miaka 82. Hebu fikiria umiliki na kuendesha gari moja tu kwa muda wote huo! Mr. Allen Swift ( Springfield, MA ) alipewa zawadi ya gari hili mwaka 1928 Rolls-Royce Piccadilly-P 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…