miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu uraia pacha kati ya miaka 0 hadi 35

    Tunajua serikali inahofia kuruhusu uraia pacha kwa sababu za kisiasa kwamba atatokea mtanzania huko mambele mwenye ushawishi na kuchukua nchi. Hilo tuliache. Tanzania kwa siku za hivi karibuni inajitutumua kwenye nyanja za michezo kimataifa. Mfano hivi karibuni, timu ya Taifa ya mpira wa miguu...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoto za ubilionea zilianza akiwa na miaka 65 baada kushindwa kujiua

    Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20, Mke aliamua kuondoka na mtoto. Alishindwa hata katika jaribio la...
  3. JamiiForums Tanzania Afungwa miaka miwili kwa kutamka "Bismilallahi" huku akila nyama ya nguruwe

    Staa wa TikTok kutoka nchini Indonesia, Lina Mukherjee amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na video aliyo-post inayomuonesha akisema neno linalotumiwa na Waislamu la ‘Bismillah’ kabla ya kula nyama ya nguruwe, jambo ambalo limelaaniwa vikali nchini humo. Neno hilo hutumiwa na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tumeishi miaka yote, tumechagua viongozi wetu, tumeshtakiana na hukumu kutolewa Kwa mujibu wa Katiba

    Najiuliza hivi wasomi wetu hawajui kama Kila siku tunaongozwa na katiba? Hivi wasomi wetu hawajui kama tunaiishi katiba tuliyonayo? Hivi Rais wetu hajui kama Tanzania anayoiongoza iko hivyo anavyoiona kutokana na uwajibikaji Kwa katiba wa Kila raia wa Tanzania? Iweje useme eti hawaijui? Iweje...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

    Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake. Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kutinga makundi mwaka 1998, iliwachukua miaka mingapi Simba kutinga hatua ya makundi CAFCL?

    Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo. Sasa watuambie , miaka...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama siasa ni maisha, basi katiba ni document ya kisiasa juu ya mgawanyo wa madaraka na utowaji haki

    Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko. Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
  9. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Congo DR afungwa miaka saba jela kwa kumtusi Rais

    KINSHASA, Sept 13 (Reuters) - A high court in Democratic Republic of Congo has sentenced presidential candidate Jean-Marc Kabund to seven years in prison on 12 charges including spreading false rumours and insulting the head of state, his lawyer said on Wednesday. Kabund was a former vice...
  10. JamiiForums Tanzania Watawala kutumia mbinu ya kutaka kutoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, wanataka KUTULAZIMISHA tuendelee kutumia milele Katiba tuliyonayo sasa!

    Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nilidhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake. Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ombwe la tasnia ya mawasiliano limetengenezwa wa miaka mingi na linaipa shida serikali kwa wakati huu.

    Tasnia mbili bado zipo nyuma na madhara ya hatua za taratibu za kusogea kwa maendeleo ya tasnia hizo yanaonekana dhahiri kabisa. Tasnia ya polisi na tasnia ya bahari. Polisi wetu mpaka kesho wanafanya makosa mengi yanayodhihirisha kuwa namna wanavyoingia vyuoni kuna wepesi ambao unaiumiza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watakaolipwa pesa miaka mitatu kufundisha katiba, watafundisha mpya au ya zamani? Wao wamesomeshwa wapi wanachokwenda kukifundisha?

    Tunatenga miaka mitatu ya kufundisha katiba, hii ni katiba inayokuja au iliyopo? Je, waliopendekeza hii elimu ya miaka mitatu ni vyama vya siasa au ni chama cha mapinduzi? Kama ni katiba ya zamani kwanini wanaamini tunatakiwa kuifahamu wakati agenda ni katiba mpya?
  13. JamiiForums Tanzania Uturuki: Boss wa cryptocurrency jela miaka miaka 11,196 kwa udanganyifu

    "Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya dola. Faruk Fatih Ozer, mwenye umri wa miaka 29, aliikimbia Albania mwaka 2021 na mali za...
  14. JamiiForums Tanzania Utafanyaje kama mtoto wa rafiki yako wa karibu anatoka kimapenzi na ex-wife wako mliodumu wa miaka zaidi ya 20 muda mfupi baada ya nyie kuachana

    Hawa viumbe lile shimo lao linafanya wakose na watukosee heshima wanaume na familia zao. Mwanamke mwenye akili timamu hawezi mvulia pichu mtoto wa shemeji yake ambaye alishiriki hadi kumlea. Hii ni true story, Mtoto wa Michael Jordan aitwae Marcus Jordan anatoka kimapenzi na ex-wife wa rafiki...
  15. JamiiForums Tanzania Wastaafu waweka ngumu Serikali kutoa Elimu ya Katiba kwa Miaka 3

    Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo. Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Upuuzi huu wa Waafrika, kwanini tusidharaulike tu na Wazungu miaka yote?

    75% ya Nishati ya Umeme uliopo nchini Ufaransa unatokana na Madini ya Uranium yaliyoko nchini Niger. Na Kihistoria nchi ya Niger imeingia Mkataba wa muda mrefu (kuanzia miaka 50 hadi 100) ya kuruhusu Madini yake ya Uranium yatumiwe na nchi ya Ufaransa tu huku Ufaransa ndiyo wakiwa Wapanga Bei...
  17. JamiiForums Tanzania Mufindi: Afungwa Jela miaka 20 kwa kukutwa na kilo 32 za nyama ya Tandala

    Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, imemhukumu Mbogo Tinda (45), Mkazi wa Kijiji cha Ihoanza Tarafa ya Malangali, wilayani hapa, kutumia kifungo cha miaka 20 gerezani, baada ya kumtia hatiani kwa makosa mawili. Makosa hayo ni lile la kukutwa na nyara za Serikali (nyama ya Tandala – Kudu, yenye uzito...
  18. JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana. Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni " Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa" "Nikitaka...
  19. JamiiForums Tanzania Aende chuoni miaka 5 kisha apewe mtaji au aende kusaidia biashara ya familia miaka mitano kisha afunguliwe biashara?

    Kamaliza form 6, Ni mtoto wa kwanza wa kwanza wa kiume, wa pili yupo form 5 wa kike, wa tatu wa kiume yupo form 1, wa nne wa kiume yupo darasa la saba Wazazi wanajishughulisha na biashara, mambo ya usafirishaji na makazi. option mbili 1. Apprenticeship miaka mitano afunzwe kwa ukaribu...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mabinti wenye miaka 18 - 35

    Ukihitaji salamu nenda uswahilini, kwangu utaula wa Chuya! Sikutishi Sikupangii lakini huu ndiyo uhalisia wenyewe, ipo siku utalia na kusaga meno. Yaani binti mzima mwenye umri kuanzia 18 - 30, hufanyi shughuli yeyote na huwezi kuzitumia nguvu zako kwenye uwekezaji wa maisha yako na mwanao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…