miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Miaka ya 60 tulikuwa tunalingana na Korea kimaendeleo, hawa jamaa walijikwaa wapi mpaka tukawaacha mbali kiasi hiki!

    Leo asubuhi nilikuwa naangalia tv moja ya Korea kusini nilishangazwa na maendeleo hafifu ya hawa jamaa na nilipoangalia historia nikakuta kumbe miaka ya Uhuru tulikuwa karibu sawa. Wakati Tanzania tumepiga hatua kubwa kiasi hiki wao bado wamelala usingizi mzito. Sisi tunatengeneza Magari...
  2. Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

    KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI? Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha...
  3. P

    Wazee wa Disco wa Miaka ya 80 Mpo?

    Tuliyokulia miaka ya Disco na breakdance miaa ya 80, tukumbushane tafadhali.
  4. Kipindi nina miaka chini ya 7 ningesikia baba yangu kafariki ningefurahi sana!

    Kusema ukweli kile kilikuaa ni kipindi kigumu sana kwangu na kwa kaka na Dada zangu, yaani ilikuwa kama ni panya na paka. Nilishuhudia kwa macho yangu mama zetu wakilala kwa Balozi na Mwenyekiti wa Mtaa savabu ya kipigo. Yaani dada zetu wakubwa na kaka zetu wote walitoroka mara kwa mara...
  5. Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
  6. TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

    TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake. Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye...
  7. M

    Babati: Gurtu Sirro ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuuza meno ya tembo

    Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario. Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati. Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
  8. Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

    Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua. Uzuri wife akawa amefaulu...
  9. Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

    Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee. My take: Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae...
  10. Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
  11. Mfanyakazi mpya wa Elon Musk ana umri wa miaka 14

    FAHAMU: Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk. Tofauti na watoto wengine, Inasemwa alipokuwa na umri wa miaka miwili (2) alikuwa anaweza kuumba maneno yanayotengeneza sentesi kamili, ndipo walimu...
  12. B

    Msigwa: hakuna bandari iliyouzwa kwa miaka 100 na hakuna bandari itakayouzwa Tanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari za Tanzania zimeuzwa kwa kampuni ya DP World kutoka Dubai kwa miaka 100 na kusema jambo hilo halina ukweli wowote. Akizungumza na waandishi wa habari wa kimtandao (JUMIKITA)...
  13. Njombe: Mkusanya Mapato wa Serikali afungwa miaka 2 kwa kuiba Tsh. Milioni 12.6

    Hukumu imetolewa katika Mahakama ya Wilaya ya Makete, dhidi ya Isaya Samwel Madoki ambaye ni mtumihsi wa Umma, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi kinyume na kifungu cha 258(1) na 270 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 mapitio ya 2019. Mahakama imethibitisha kuwa mshtakiwa...
  14. SoC03 Tatizo la udumavu au utapiamlo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano hasa katika maeneo ya vijijini

    Habari zenu wanajamii wenzangu wa JamiiForums , katika makala hii fupi ninayoandika ni kwa lengo la kuelimisha na kufundisha wazazi na walezi juu ya umuhimu wa lishe bora hasa kwa watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitano katika maeoneo ya vijijini na hii itaweza kusaidia kutengeneza...
  15. TRA: Usajili wa TIN kwa mwananchi umri kuanzia miaka 18 siyo kwa ajili ya biashara bali ni kwa utambuzi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka huu kila mtu mzima nchini anatakiwa kuwa na Namba ya Mlipa Kodi (TIN). Hayo yameelezwa na Ofisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi (TRA), Hamadi Mteri wakati wa ufunguzi wa semina kwa wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa...
  16. Je, wajua Djibouti walivunja mkataba na DP-World?

    Haya mijadala inaendelea kuhusu uwekezaji wa bandari, hoja nyingi zikitolewa kutokana na masharti ya mkataba huo ambao unaonekana utaathiri uchumi wa Tanzania badala ya kuuendeleza. Kampuni ya Dubai inayosimamia bandari Zaidi ya 78 katika nchi 40 duniani imekuwa na kashfa kadhaa za ukwepaji...
  17. N

    "Plasduce Mbossa: Hakuna Mkataba wa Miaka 100 katika Bandari ya Dar es Salaam"

    Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu. Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
  18. Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  19. Tundu Lissu anasema hajaona palipoandikwa miaka 100, Muulizeni mkataba usiovunjika baada ya kusainiwa maana yake nini?

    TUNDU LISSU ANASEMA HAJAONA PALIPOANDIKWA MIAKA 100,SASA MUULIZENI MKATABA USIOVUNJIKA BAADA YA KUSAINIWA MAANA YAKE NINI? Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha...
  20. Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba. Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…