miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump afariki dunia nchini Marekani

    Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73 Marehemu alizaa watoto watatu na Donald Trump, watoto hao ni Donald Jr, Ivanka na Eric Taarifa za kifo chake...
  2. JamiiForums Tanzania Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  3. JamiiForums Tanzania Tumemsajili kiungo Said Ndemla kuchezea Singida Big Stars kwa miaka miwili

    Watu wa Soka, Leo tumemtambulisha rasmi kiungo bora wa soka hapa nchini, Said Hamis Ndemla, ambaye amesaini kutupatia huduma yake kwa miaka miwili. Ndemla sifa zake zinajieleza zenyewe. Amekuwa mchezaji ambaye kiwango chake kinapanda siku hadi siku. Atatufaa sana kwenye kufikia malengo yetu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rwanda: Afisa wa Zamani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuhusika katika Mauji ya Halaiki

    Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa. Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbweni inapendelewa ujenzi wa barabara, Mbezi kwa miaka nenda rudi barabara hazijengwi

    Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa. Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu. Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko. Nimepata tetesi kuwa hata kwa Katibu Mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami. Tofauti...
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha imenirudisha miaka mingi baada ya Uhuru

    Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni. Walijenga hydroelectric power kutumia maporomoko ya mito kule Amani na kulikua na umeme. Waliweza...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
  8. E

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Watumishi wa umma wapewe likizo miaka 3 wakajiajiri

    Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
  9. JamiiForums Tanzania Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

    Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA? Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono ya kuunganisha Africa, Kweli? Mambo mengi kuhusu Ghadaffi yalikuwa propaganda. Miaka 41 Kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20, sijaongezeka uzito hata kilo moja wala sijazeeka

    Kwa miaka 20 kilo zangu ni zilezile sijaota mvi au kuzeeka, nilizaliwa nao ni wazee mimi niko vilevile, vibinti vya miaka 20 vinaniambia mambo wakati ninesoma na mama zao. Hii hali inakera sipati heshima yangu, kuna mzee jirani yangu hajui jina langu huwa ananiita we kijana...sipendi. Kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kijana apigwa risasi hifadhini, Familia yadai ushahidi unapotezwa

    Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu. Familia ya mtoto...
  12. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumemsajili Kipa wa Taifa, Metacha Mnata

    Watu wa Soka, Leo ninafurahi kuwajuza kuwa Mlinzi Imara kutoka Timu ya Taifa #TaifaStars asiye na presha na mechi ndogo wala kubwa, Metacha Mnata, ametuhakikishia kuwa lango letu litakuwa salama kupitia uzoefu wake. Tayari tumeinasa saini yake na atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili katika...
  13. JamiiForums Tanzania Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

    Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024. Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

    Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 30 kilio cha walioambukizwa virusi vya UKIMWI na homa ya Figo chasikika

    Hiki ni kisa cha kusikiktisha sana. Mtoto Jason alimuona baba yake akiumwa na hadi kifo. Baba yake alikuwa mmoja wa wahanga wengi wa jumuia iliyokuwa na ugonjwa wa :Haemophilia, muathirirka wa janga hili huwa na uwezo hafifu wa damu kuganda. Kufuatia hali hii, wahanga walikuwa wakiongezewa damu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

    Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea. Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  18. JamiiForums Tanzania Sir Cliff Richard mwenye umri wa miaka 82 akiwa Wimbledon

    Sir Cliff Richard ni mwimbaji na ana uraia wa nchi mbili, Uingereza na Barbados. Alizaliwa mwaka 1940. Amedumu katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka 60. Richard hajawahi kuoa au kuwa na familia ingawa alishapitia kwenye mahusiano na wanawake tofauti. Katika umri wa 82 anaonekana bado yuko vizuri.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

    Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile . Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa kuelewa kadharika kwa majirani . 1 dogo ana tuhuma za kusimamisha uume pale anapoona hata paja la...
  20. JamiiForums Tanzania Tumenasa saini ya Paul Godfrey kutoka Yanga, atakuwa nasi kwa miaka miwili

    Watu wa Soka, Tunaendelea na taarifa kuhusu usajili tulioufanya na maboresho yanayoendelea kwenye benchi la ufundi na kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu. Baada ya mshambuliaji Habib Kyombo na kiungo Aziz Andabwile, sasa tumefanikiwa kuinasa saini ya beki wa klabu ya Yanga Paul...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…